Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Duh mwenzenu mie hizo mambo zilinipitaga kabisa.
Na ni mambo zipi ambazo hazikukupita?
Orodhesha zote halafu nitakwambia ambazo hazikunipita.
Utundu
Utukutu
Ucharuko
Umbea
Usistadu
Ujanjaujanja
U......
None of the above.
Endelea kuorodhesha!
huu mchezo ni nomaKucheza ule wa 'baba na mama'.
Dah..! Umenifanya nimkumbuke Lisa Lopes (left eye) wa TLC, nilikuwa napenda sana style yake ya kuimba enzi hizo niko ka chalii nikishika mike yangu ya remot ya tv, nikichana mistari yake ya uongo na kweli hapo huku ni kibugunya maneno mkono mmoja naurusharusha nikiendana na biti............. Utanitakaaaaaaa!!!!!!!!!!
May God give her eternal rest and may her soul rest in peace
AMEN!!!!
Kucheza ule wa 'baba na mama'.