Nipatie mmoja nipasie kwa mpira wa kichwaMkuu hatari sana
mzee wa kupiga mipira iliyokufa π€£Nipatie mmoja nipasie kwa mpira wa kichwa
Kabisa nipeni na mm nije na ushuhudamzee wa kupiga mipira iliyokufa π€£
Inasikitisha sana π’malezi mabovu na tamaa ni vitu vibaya vibaya sana.
Tutalifanyia kazi mkuu...Na sisi wanaume wazee dah tupunguze kupiga na kuharibu hawa wanawake mnasababisha matatizo makubwa kwa waoaji.
Shika hamsini zako.Wakuu habari.
Leo nimekaa nikafikiria hili suala sana kuhusu kuoa hasa msomi na mambo ninayoshuhudia vyuoni ni noma na nusu tangu nipo diploma mpaka leo napiga bachelor kwakweli mambo yanasikitisha sana wazee.
Mabinti kuanzia mwaka wa kwanza mpaka anamaliza wanahama tu magheto ya wana. Binti huyu baada ya muda atahitimu atakutakana na kijana mwingine smart mtulivu ataolewa nae hapo ndo kijana yule hakuna rangi ataacha kuona.
Na sisi wanaume wazee dah tupunguze kupiga na kuharibu hawa wanawake mnasababisha matatizo makubwa kwa waoaji.
NB:Sio chuki ni mawazo tu na sio wote
Hapana ila mimi pia nina dada na pia M/Mungu atanijalia watoto wa kike huko baadae.Samahani mkuu!!!
Shahada ya masomo unayosomea masomo yake yanahusisha pia na uchunguzi wa hao mabinti "wanaochapika vyuoni" ....??
Basi sawa mkuu...... asante kwa kujali kizazi cha sasa na kile kijacho!!!Hapana ila mimi pia nina dada na pia M/Mungu atanijalia watoto wa kike huko baadae.
#Chizi anachekesha kama sio ndugu yako vile vile mwanamke anayevaa na kutembeza kitumbua hovyo anafurahisha kama sio mama yako wala dada yako.