DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,496
- 83,715
We umeandik nn sasaSimu anunuliwe na mwingine alf akupe namba.... me naona ni ustarabu kama ukimtafutia kitochi alf ndo umuimbishe
Sawa mkuu, samahanNo matter what. Kulinganisha maumivu ya mapenz na kufiwa, ni ujinga kwasababu pengine hujawahi kufiwa. Feelings unazopata ukifiwa ni sawa na kuachwa dunia yote wewe peke yako. Loneliness plus kumbukumbu za namna marehemu aliishi na wewe, usitamani.
We nae hua ujui kusoma kabisaWe umeandik nn sasa
Harakisha mkuu, naweka Kambi hapaKuna simbilisi ishanifanyia hivyo, nikaona isiwe taabu. One-day naelekea Moro nikakutana nayo kwa road inasubiri usafiri nikampa hi nikakaa mbali...tukaanza safari kufika njiani gari likaharibika na simbilisi haina hata mia. Nikamwambia twende ntakulipia, tukapiga mastory kinyama. Ile kufika moro mi sijamwomba namba nikasepa...mara ikaniita nisubili. Ile inafika inanipa kikaratasi imeandika namba. Nikachukua nikanyoosha. Sikuipigia siku kama tatu, baadae nikaipigia mida ya jioni na kuialika tukutane Florida. Ikaja kulikuwa na live band tukapiga supu, mazagazaga kibao. Simbilisi inaagiza inaletewa tu..mida ikaenda kinyama simbilisi inaogopa kurudi nyumbani kwao si tukasepa nayo home kwangu......Itaendelea...
People falling in love mysterious ways [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Ed Sheeran thinking out loudKuna simbilisi ishanifanyia hivyo, nikaona isiwe taabu. One-day naelekea Moro nikakutana nayo kwa road inasubiri usafiri nikampa hi nikakaa mbali...tukaanza safari kufika njiani gari likaharibika na simbilisi haina hata mia. Nikamwambia twende ntakulipia, tukapiga mastory kinyama. Ile kufika moro mi sijamwomba namba nikasepa...mara ikaniita nisubili. Ile inafika inanipa kikaratasi imeandika namba. Nikachukua nikanyoosha. Sikuipigia siku kama tatu, baadae nikaipigia mida ya jioni na kuialika tukutane Florida. Ikaja kulikuwa na live band tukapiga supu, mazagazaga kibao. Simbilisi inaagiza inaletewa tu..mida ikaenda kinyama simbilisi inaogopa kurudi nyumbani kwao si tukasepa nayo home kwangu......Itaendelea...