Mabinti mliomaliza form six

Mabinti mliomaliza form six

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
4,780
Reaction score
8,155
...
Mabinti zangu, mimi mwezi huu kwangu ni wa "birthday"!! Basi, niutumie kuwapa ujumbe kama zawadi yenu kutoka kwangu! Japo ni mrefu, ila zawadi kuna saa hatuchagui!
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Nafahamu wengi mmeshaanza kuwa na simu ama mnatumia za watu!!!
Naomba kuwaasa neno!!!!!

1.Uzoefu unaonesha kuwa wengi mnakuwa mko salama kwenye maeneo mengi including afya ya uzazi mpaka mnapomaliza kidato cha sita.

2.Wengi wenu wanaharibika baada ya hiyo level. Baada ya hapa mtasikia mengi! Mtaambiwa siku hizi huwezi kuolewa bikira, mtaambiwa kuwa usipofanya sex ni ushamba, na hadithi zingine. Bahati mbaya hamtajua hata aliyeanzisha hizi hadithi, alisomea taaluma gani na alifanya wapi research.

3.Mkiziendea hizi hadithi kichwa kichwa, mtaumizwa sana kwenye mahusiano. Kuna wavulana wanaitwa "play boys", watafanyia mazoezi ya ngono kwenu.

4.Kuna wanaume watu wazima waliooa waliojipa kazi ya kuharibu mabinti wa wengine, watawajia na simu za bei kubwa, na magari wawahonge ili tu wamalizie seeds zao za uzee kwenu.

5.Kwenye hizo pilika pilika, kuna kuachwa kwa maumivu, kuna kupewa mimba na kuikataa, kuna kupewa na kuambiwa nitailea, kuna kupewa mimba na kuambiwa basi nakuoa, na kuna kupewa mimba na kuambiwa nakuoa mke wa pili, tatu, nne n.k!

6.Baya zaidi kuna kupata UKIMWI.

7.Wanangu,
(i) Ulimwengu umebadilika
(ii) Zamani, ulikuwa unaolewa unakaa nyumbani unalea watoto, mume anawatunza

(iii) Siku hizi, hatujui kwa nini ila kuna namna utajikuta pia unahitaji kuwa ama na elimu ama kuwa na kipato chako.
(iv) Kama utaolewa na mume na akakutunza wewe na watoto basi ni neema

(v) Ukimpata uchumi wake hauko sawa sana, utatumia elimu yako kusaidiana naye mtengeneze familia yenu.

(vi) Kataa wanaume WAUA NDOTO!!Simama na ndoto yako na utunze afya yako ya uzazi. P2 siyo panadol wanangu, siyo dawa za maumivu hizo, hata panadaol hazinywewi hovyo bila ushauri wa daktari. sembuse P2?

(vii)Mkiamua kuingia kwenye mahusiano MSIACHE UBONGO nyuma. Muende nao. Kataa ngono zembe.

(viii) Kama unafikiri umekua, nami naongea vya watoto basi mwanangu, kapime kwanza UKIMWI, kisha mpime na mwenziyo, kisha tumia kinga.

(ix) Ila sasa mwanangu vyote vikigoma, ukibeba mimba zaa, na kama si lazima epuka kuolewa na mtu sababu ya mimba kama hana uhakika kama anakutaka. Anaweza kwenda kukutesa mbele ya safari, kama unampenda na anakupenda basi safari yenu itakuwa imeanzia katikati, ni sawa tu kuanza mwanzo na mkaoana!

(x) Ukiwa single mother kwa umri huu binti yangu hutamlaumu mtu, maana mimi nimekupa tahadhari, ukazane tu ulee mwanao na umalizie shule mwanangu!!!

(xi) Na ukiwa chuo mwanangu, tumia pesa kwa busara.Si lazima kuwa na simu ya gharama kubwa, si lazima kusuka kwa gharama na si lazima kuvaa kwa gharama.Ukipata kazi, utapata utakavyovikosa chuo.

(xi)Na chuo, hakuna kengele mwanangu, chuo hawaiti majina, hakuna matroni wa kupita kukagua kama umelala bwenini, BASI KUMBE MWANANGU, INAHITAJIKA "SELF DISCIPLINE", Jisimamie mwenyewe!!!!

(xii) Mwanangu, usiache kusali, jitahidi kwa imani yako, muda wa ibada, nenda ukasali, Mungu awe nanyi, na amani yake iwalinde!
Mwisho..

Ya kusema ni mengi wanangu, ila niwaambie tu mi nawapenda sana!!!!Siwezi kukutana nanyi wote, ila waraka huu utakufuata ulipo.
 
Ushauri mzuri Sana!umenikumbusha mbali:,Akaja baba mmoja Toka safari ya mbali,kavimba yote mapaja na kutetemeka mwili,!, Watoto wake wakaja ili kutaka Hali.........kama mnaotaka mali,mtaipata shambani.
Ahsante Mkuu Barikiwa sana.
 
Acha wawe huru, wa expolore miili yao na wafurahie uumbaji. Acha watoto wafurahie maumbile yao.
 
Namuunga mkono mtoa mada.
Mambo ya kujamiiana bila mpangilio au bila kuangalia future ni uhayawani na unyumbu wa hali ya juu.

Mtu ajamiiane kwa raha zake huku akijihadhari na mimba isiyotarajiwa.

...
Mabinti zangu, mimi mwezi huu kwangu ni wa "birthday"!! Basi, niutumie kuwapa ujumbe kama zawadi yenu kutoka kwangu! Japo ni mrefu, ila zawadi kuna saa hatuchagui!
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Nafahamu wengi mmeshaanza kuwa na simu ama mnatumia za watu!!!
Naomba kuwaasa neno!!!!!

1.Uzoefu unaonesha kuwa wengi mnakuwa mko salama kwenye maeneo mengi including afya ya uzazi mpaka mnapomaliza kidato cha sita.

2.Wengi wenu wanaharibika baada ya hiyo level. Baada ya hapa mtasikia mengi! Mtaambiwa siku hizi huwezi kuolewa bikira, mtaambiwa kuwa usipofanya sex ni ushamba, na hadithi zingine. Bahati mbaya hamtajua hata aliyeanzisha hizi hadithi, alisomea taaluma gani na alifanya wapi research.

3.Mkiziendea hizi hadithi kichwa kichwa, mtaumizwa sana kwenye mahusiano. Kuna wavulana wanaitwa "play boys", watafanyia mazoezi ya ngono kwenu.

4.Kuna wanaume watu wazima waliooa waliojipa kazi ya kuharibu mabinti wa wengine, watawajia na simu za bei kubwa, na magari wawahonge ili tu wamalizie seeds zao za uzee kwenu.

5.Kwenye hizo pilika pilika, kuna kuachwa kwa maumivu, kuna kupewa mimba na kuikataa, kuna kupewa na kuambiwa nitailea, kuna kupewa mimba na kuambiwa basi nakuoa, na kuna kupewa mimba na kuambiwa nakuoa mke wa pili, tatu, nne n.k!

6.Baya zaidi kuna kupata UKIMWI.

7.Wanangu,
(i) Ulimwengu umebadilika
(ii) Zamani, ulikuwa unaolewa unakaa nyumbani unalea watoto, mume anawatunza

(iii) Siku hizi, hatujui kwa nini ila kuna namna utajikuta pia unahitaji kuwa ama na elimu ama kuwa na kipato chako.
(iv) Kama utaolewa na mume na akakutunza wewe na watoto basi ni neema

(v) Ukimpata uchumi wake hauko sawa sana, utatumia elimu yako kusaidiana naye mtengeneze familia yenu.

(vi) Kataa wanaume WAUA NDOTO!!Simama na ndoto yako na utunze afya yako ya uzazi. P2 siyo panadol wanangu, siyo dawa za maumivu hizo, hata panadaol hazinywewi hovyo bila ushauri wa daktari. sembuse P2?

(vii)Mkiamua kuingia kwenye mahusiano MSIACHE UBONGO nyuma. Muende nao. Kataa ngono zembe.

(viii) Kama unafikiri umekua, nami naongea vya watoto basi mwanangu, kapime kwanza UKIMWI, kisha mpime na mwenziyo, kisha tumia kinga.

(ix) Ila sasa mwanangu vyote vikigoma, ukibeba mimba zaa, na kama si lazima epuka kuolewa na mtu sababu ya mimba kama hana uhakika kama anakutaka. Anaweza kwenda kukutesa mbele ya safari, kama unampenda na anakupenda basi safari yenu itakuwa imeanzia katikati, ni sawa tu kuanza mwanzo na mkaoana!

(x) Ukiwa single mother kwa umri huu binti yangu hutamlaumu mtu, maana mimi nimekupa tahadhari, ukazane tu ulee mwanao na umalizie shule mwanangu!!!

(xi) Na ukiwa chuo mwanangu, tumia pesa kwa busara.Si lazima kuwa na simu ya gharama kubwa, si lazima kusuka kwa gharama na si lazima kuvaa kwa gharama.Ukipata kazi, utapata utakavyovikosa chuo.

(xi)Na chuo, hakuna kengele mwanangu, chuo hawaiti majina, hakuna matroni wa kupita kukagua kama umelala bwenini, BASI KUMBE MWANANGU, INAHITAJIKA "SELF DISCIPLINE", Jisimamie mwenyewe!!!!

(xii) Mwanangu, usiache kusali, jitahidi kwa imani yako, muda wa ibada, nenda ukasali, Mungu awe nanyi, na amani yake iwalinde!
Mwisho..

Ya kusema ni mengi wanangu, ila niwaambie tu mi nawapenda sana!!!!Siwezi kukutana nanyi wote, ila waraka huu utakufuata ulipo.
Chai
 
Back
Top Bottom