M mokala1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2013 Posts 2,236 Reaction score 730 Jan 23, 2014 #81 Iyokopokomayoko said: hela inazika mtu ndiyo maana kukitokea msiba lazima daftari la mchango lipitishwe, unadhani sanda na jeneza utanunulia kwa mapenzi tu bila hela?. Click to expand... hata trilionea akifa ni lazima bakuli la sadaka litembezwe msibani
Iyokopokomayoko said: hela inazika mtu ndiyo maana kukitokea msiba lazima daftari la mchango lipitishwe, unadhani sanda na jeneza utanunulia kwa mapenzi tu bila hela?. Click to expand... hata trilionea akifa ni lazima bakuli la sadaka litembezwe msibani
brightrich Senior Member Joined Nov 19, 2010 Posts 136 Reaction score 27 Jan 23, 2014 #82 Hivi huyo mmoja aliyekuacha baada ya kuchacha ndo unafananisha na wengine?????? Wamarangu nawafahamu kuliko wewe, sio wote wenye tabia hiyo, fanya uchunguzi wako vizuri ila nakupa pole kwa yaliyokukuta KALUBANDIKA:shock::A S embarassed::embarrassed:
Hivi huyo mmoja aliyekuacha baada ya kuchacha ndo unafananisha na wengine?????? Wamarangu nawafahamu kuliko wewe, sio wote wenye tabia hiyo, fanya uchunguzi wako vizuri ila nakupa pole kwa yaliyokukuta KALUBANDIKA:shock::A S embarassed::embarrassed: