hela inazika mtu ndiyo maana kukitokea msiba lazima daftari la mchango lipitishwe, unadhani sanda na jeneza utanunulia kwa mapenzi tu bila hela?.
kama hela inazika mtu kwnn watu wanaenda kwenye misiba wasitume hela ikazike bla watu kwenda.Inaonekana bdo unamawazo madogo sana.Fikiri kabda ya kutoa maoni yako,nazan utakuwa umeelewa
hapo ni kweli uwezi oa mtu mpenda pesa katka ndoa kulko mapenzi.Acheni uzuzu, demu mpenda hela mega then tembea. Unakaa nae wa nini wakati mzazi wako analia njaa kijiji? Wewe ulipokuwa unasomeshwa na mzazi yeye alikuwa anafundishwa kuchuna nini? Wapo mademu kibao wasiomind mkwanja.
Sasa mbona ushajijibu! Kusema wana mapesa si maana yake wanazipenda? Namna ya kuzipata haikuwa hoja ya msingi kwangu.swali kama hakuna kwann wanawake wa nchi za wenzetu wa namapesa ila wanaolewa kwa mda 2 awadumu katka ndoa zao
kwel mkuu sio vizuri kugeralize kitu ulichokiona kwa mtu mmoja, kumbuka we think in generality but we live in detailJamani tuacheni stereotypes hizi. Mimi nawajua mabinti wa huko zaidi ya mmoja wako fresh tu, wachakalikaji.
Tena mmoja alikuwa hajaridhika na kazi ya mumewe, mumewe akawa yuko poa tu, binti ndio ikawa kama kazi yake kutuma ma application, mpaka jamaa kaitwa kwenye interview kapiga mzigo akawa anachukua usawa karibu mara tatu wa awali.
Sasa binti kama huyu mpenda maendeleo na mchakalikaji, anajua hata kumsaidia mumewe kama mumewe hachangamki, unaweza kumsema vibaya kweli?
Halafu mtoto ana heshima zake zote kitu ambacho ni nadra sana kupata siku hizi.
Sasa nikimkumbuka huyu binti halafu nikisikia watu wana generalize mambo kama hivi, najisikia vibaya sana.
Watu hawako monolithic kufuatana na makabila yao, na habari yoyote inayo generalize tabia za watu kwa makabila inabidi angalau iwe qualified zaidi.
Tatizo lako mtoa mada hutaki kutafuta hela. Hebu penda kutafuta hela, halafu hao wanawake wanaopenda hela uone kama watakukera!
jamani naomben kuuliza.kwnn wanawake wamarangu wanapenda pesa kulko mapenzi ya dhati,utamkuta mwanamke wakimarangu mume hakiishiwa 2 mke anakuwa ana heshima baada ya mda anakuacha.ila ukipata 2 anarudi jaman cwaelewi ni wanawake wa aina gani?.Kingne ukioa mmarangu ucpokuwa makin unafilicka kabsa yani nitabu.jaman hawa wakiendlea hvyo watkuwa ni wakumika na c
wakuoa kabsa katka dunia hii ya leo.Ila wanawake punguzeni kupenda hela na ndo maana matatzo ya kifamalia inaongezka kila cku kuliko kupungua.Jaman 2washauri wanawke wa kimarangu na
wanawake penda pesa wabdilike
kwahy pesa muhimu kuliko mapenzi katka ndoa au
Nimekupenda bure kabisa Kiranga, kuna watu wanapenda ku generalize kosa la mtu mmoja na tabia ya mtu mmoja na kuhusisha mkoa wote aliotokea huyo mkosa wake, hii tabia si nzuri kabisa!
Kiranga kakueleza ukweli mtupuKiranga cjasema wote ila wengi wao wako hivyo na huwa weng huwazidi wachache nazani umeelewa sasa
Kiranga heri ya mwaka mpya ! waambie hawa wandugu ''there is great difference between fantasy and reality''Jamani tuacheni stereotypes hizi. Mimi nawajua mabinti wa huko zaidi ya mmoja wako fresh tu, wachakalikaji.