Mabingwa watetezi EPL, Leicester City wamtimua manager wao

fungi

JF-Expert Member
Mar 18, 2014
2,539
4,668
Club ya Leicester city imemfukuza kazi manager wake Claudio Ranieri ikiwa ni miezi 9 tu baada ya kuwaongoza kuchukua ubingwa wa EPL

“Claudio, appointed City manager in July 2015, led the Foxes to the greatest triumph in the Club’s 133-year history last season, as we were crowned champions of England for the first time. His status as the most successful Leicester City manager of all time is without question.

“However, domestic results in the current campaign have placed the Club’s Premier League status under threat and the Board reluctantly feels that a change of leadership, while admittedly painful, is necessary in the Club’s greatest interest. “
Vice Chairman Aiyawatt Srivaddhanaprabha said it was ” the most difficult decision” the owners had to make in nearly seven years since King Power took ownership of Leicester City.

“It was never our expectation that the extraordinary feats of last season should be replicated this season. Indeed, survival in the Premier League was our first and only target at the start of the campaign. But we are now faced with a fight to reach that objective and feel a change is necessary to maximise the opportunity presented by the final 13 games.”
10-Ranieri.jpg
 
Kudadeeek fanyaa yooote
Mazur hata 100 na ya dhahabu

Lakin cku ukikosea moja
Tu unaonekana shetan wa kutupwaaaaaa jalalaaaan

Yan hao mabos wake
Kwa akili yao walifkir
Ataweza kumfunga sevilla
Hata kwa ndoto za mchana
Hawangeweza

Liverpool alisalit
Amri sembuse watoto wa jana
Nyieeee
 
Dah walikuwa na Kila sababu ya kufanya hayo, kuchukua ubingwa wa hawa jamaa sio kuwa walikuwa na timu nzuri laa ila timu kubwa zote hazikuwa vizuri, kilichofanyika jamaa waliwahi mapema kukusanya point,
Ila msimu huu wamefanya vibaya Muda mrefu bila mabadiliko yyte, yaani manager hakuwa kabisa na plan b ya kuweza kusaidia timu,
 
Ila heshima yake ni kocha mzuri Sana wale wajukuu wa Wenger fursa hii
 
Nadhani kilichowasababisha kufeli sio kocha ni fatigue ya msimu ulioisha tu, kama sir Alex Ferguson alikuwa anaita SSS/ second season syndrome na ukichukulia kikosi hakikuwa na depth ya kutosha unategemea nini, kocha ndio kawajibika lakini kaacha history
 
Leicester tatizo sio kocha tatizo ni wachezaji. Ranieri amekosa mtu wa kumrithi Ngoro Kante.
kante ndiyo aliye kuwa anawachezesha Mahrez
 
Dah walikuwa na Kila sababu ya kufanya hayo, kuchukua ubingwa wa hawa jamaa sio kuwa walikuwa na timu nzuri laa ila timu kubwa zote hazikuwa vizuri, kilichofanyika jamaa waliwahi mapema kukusanya point,
Ila msimu huu wamefanya vibaya Muda mrefu bila mabadiliko yyte, yaani manager hakuwa kabisa na plan b ya kuweza kusaidia timu,
Mkuu I prefer to differ. Jamaa hawakuchukua point mapema tu bali walichukua point mwanzo hadi mwisho wa msimu.
 
Club ya Leicester city imemfukuza kazi manager wake Claudio Ranieri ikiwa ni miezi 9 tu baada ya kuwaongoza kuchukua ubingwa wa EPL

“Claudio, appointed City manager in July 2015, led the Foxes to the greatest triumph in the Club’s 133-year history last season, as we were crowned champions of England for the first time. His status as the most successful Leicester City manager of all time is without question.

“However, domestic results in the current campaign have placed the Club’s Premier League status under threat and the Board reluctantly feels that a change of leadership, while admittedly painful, is necessary in the Club’s greatest interest. “
Vice Chairman Aiyawatt Srivaddhanaprabha said it was ” the most difficult decision” the owners had to make in nearly seven years since King Power took ownership of Leicester City.

“It was never our expectation that the extraordinary feats of last season should be replicated this season. Indeed, survival in the Premier League was our first and only target at the start of the campaign. But we are now faced with a fight to reach that objective and feel a change is necessary to maximise the opportunity presented by the final 13 games.”View attachment 473904
Kulikuwa hakuna njia mbadala ya kuokoa timu , ilikuwa lazima Ranieri atimuliwe .
 
Kudadeeek fanyaa yooote
Mazur hata 100 na ya dhahabu

Lakin cku ukikosea moja
Tu unaonekana shetan wa kutupwaaaaaa jalalaaaan

Yan hao mabos wake
Kwa akili yao walifkir
Ataweza kumfunga sevilla
Hata kwa ndoto za mchana
Hawangeweza

Liverpool alisalit
Amri sembuse watoto wa jana
Nyieeee
Mbona wanafungika sana tu! Ushindi wa 2:1 ni ushindi wa kawaida sana ambao wanaweza kugeuza matokeo kirahisi tu wakirudi lecister
 
ni sawa , hla punguza c0py and paste translate kwa wasi0jua
Kasome lugha muhimu ya Kiingereza siyo kila kitu utafsiriwe. Unasahau English ni moja ya lugha inayotumika kiofisi? Omba kazi kwa Kiswahili uone kama utapata kazi. Angalia mikataba yote nyaraka zote ziko kwa kiingereza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom