S SunStrong Member Joined Jan 24, 2011 Posts 56 Reaction score 3 Nov 30, 2014 #1 Siamini kama tutaambiwa ukweli kuhusu cash iliyotoka stanbic, kuna tetesi mzigo ulipelekwa maeneo ya kuleee "KIVUKONI"; na Kwa hali niliyoiona bungeni sijui kama tutaambiwa ukweli wowote. Sijui wadau mnalionaje hili
Siamini kama tutaambiwa ukweli kuhusu cash iliyotoka stanbic, kuna tetesi mzigo ulipelekwa maeneo ya kuleee "KIVUKONI"; na Kwa hali niliyoiona bungeni sijui kama tutaambiwa ukweli wowote. Sijui wadau mnalionaje hili