Mabilion ya JK: Bodi gani ilihusika kukopesha?

Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
16,886
18,086
Hivi karibuni bodi ya mikopo ya wanafunzi elimu ya juu imeelekeza wote wlionufaika na mikopo waanze kulipa ili wengine wakopeshwe.
Sasa kuna hawa waliokopeshwa mabilion ya JK, je nao wataanza kulipa lini ili wengine tukope? Ni bodi gani ilihusika kukopesha?
Mwenye ufahamu tujuze.
 
Hebu tulia mkuu, haya yalishapita. Kwani wewe hukusikia pesa zinabebwa kwenye sandarusi na viroba!? Sasa bodi ya nini cha msingi we subiri hizo million 60 kwa kila kijiji nazo zaja ili kujengea viwanda.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom