Mabibo mapenzi pia yapo

Hahaahahaa eti kama ganda la fenesi" Kama ngozi ya mamba aisee"",.. usikute ulimpiga deki kisawa sawa
 
Dhaaaaaaaa hao mashakupe
Aiseee umenikumbusha vingungut
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]
hahaaa wapo Sana M/nyamala hao ", buguruni",mbagala" tandale" kwa ali maua ", magomeni" kiwalani " msasani maandazi road " huko vingunguti ndio usiombee sasa
 
Mabibo azimio
Hiyo ndo mitaa yake. Sitasahau Siku niko na Kiongozi wakanisa tunapita kichochoro kimoja mitaa ya Manzese. Kumbe kuna mdundiko sasa nyumba zimepakana so ile sehemu ya kupita ndo wanachezea mziki. Aisee ile tunakaribia pale tuu...mdada wa makamo akainama mbele yetu huku mikono yake miwili kashika chini anakata viuno huku akiwa ametupa mgongo. Aiseee...uswahilini kuna rah na kahara...yule kiongozi alijisikia aibu sana
 
[emoji2] [emoji2]
 
Mkuu pia kwa Mtogole hayo mambo yapo sana yena kwasiku moja yanafanyika sehemu zaidi ya nne ukipita huku vigodoro ukipita kule wanamfunda mwali duuuu hayo mauno hatari tupu aise,
 
hahaaa wapo Sana M/nyamala hao ", buguruni",mbagala" tandale" kwa ali maua ", magomeni" kiwalani " msasani maandazi road " huko vingunguti ndio usiombee sasa
Mzee wa Dead Balls a.k.a Changu la Kiume" 😀[emoji23]
 
Una kipaji cha uandishi wa kuvutia... Jumammosi tukutane beach ya mabibo kuna shughuli nhingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…