Mabetri ya Amaron yanauzwa

hivi hiki kiswahili ndio kinanipa shida, ni betri au mabetri??
 
Hizo battery ni nzuri sana. Nimefunga kwenye gari yapata mwaka na miez 6 sasa na bdo nzimaa
 
STOCK ILIYOBAKI ZA MWEZI HUU WA FEBRUARI 2017, WALE MAWAKALA WANGU WA MABETRI NTAWAPA BEI NZURI
NS40, N50, NA NS60.
 
Msaada nini tofauti kati ya N50Z na N60 naona hata bei zipo taofauti na N50Z ni ghali kuliko N60
 
Msaada nini tofauti kati ya N50Z na N60 naona hata bei zipo taofauti na N50Z ni ghali kuliko N60
Utofauti kati ya N50Z na NS60 uko hivi, N50 ina nguvu ya amps 50. N60 ina nguvu ya amps 45. mara nyingi n60 inaitwa ns45 kwasababu ni betri ndogo, utofauti mwingine ni kwamba N50 inacharge kwa muda mrefu zaidi kuliko N60.
 
TUNAUZA MABETRI YA MAGARI AINA YA AMARON.

Umei under-rate product yako mwenyewe hebu sahihisha utambulisho wewe mtu MABETRY ?
 
nahitaji N70 niko mwanza
zimeisha mkuu. stock ya N70 inakuja mwezi ujao. kama unaweza kusubiri basi nipe namba zako za simu ili mzigo mpya unapokuja tuwasiliane unitumie pesa nikutumie kwenye basi za mwanza.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…