Mabelo ya mitumba

Mabelo ya mitumba

Giannis Antetokounmpo

Senior Member
Joined
Jan 16, 2017
Posts
134
Reaction score
65
Nataka kuaza kuuza nguo za watoto za mitumba sema nlikua nataka kujua mabelo ya mitumba yanapatikana wapi na bei zame zimekaaje kwa belo, mwenye uzoefu tafadhali.
 
mkuu hapa maeneo posta,mnazi mmoja yap kwaupande wa bei sifahamu, ila kwa uzoefu mdogo nasikia bei ni kulingana na grade
 
kutokea Kamata ukifika mnazi1, upande wako wakulia hapo changamsha akili kidogo jimix kuulizia na utaoneshwa.

Kama una bahati ya 'mtende' pia utaweza shuhudia wengine wakitoka na mizigo ya namna hiyo.
 
mkuu hapa maeneo posta,mnazi mmoja yap kwaupande wa bei sifahamu, ila kwa uzoefu mdogo nasikia bei ni kulingana na grade
Mkuu mbona naskia wengi wanayafungua wanachagua/wanatoa nguo nzuri wanayafunga upya?
 
Mkuu mbona naskia wengi wanayafungua wanachagua/wanatoa nguo nzuri wanayafunga upya?
mkuu sina utaalamu sana na hila maana sijawahi fanya hiyo biaashara ila kunamtu nilikuwa napiga story na mtu akaniambia hivyo
 
Nataka kuaza kuuza nguo za watoto za mitumba sema nlikua nataka kujua mabelo ya mitumba yanapatikana wapi na bei zame zimekaaje kwa belo, mwenye uzoefu tafadhali.
Nauza belo LA mixer blause za wadada from uk kwa 200k nguo zipo 280 na zaidi.being hii ni kutokana na offer iliyopo. Tel: 0715647956
 
Back
Top Bottom