Dua la kuku, point 8 juu ya msimamo, magoli ya kufunga 25,magoli ya kufungwa 4, linganisha na tik tok team magoli yao ya jumla 16 ni sawa na magoli ya wachezaji 3 wa yanga mayele,ntibanzokiza na fei toto, angalieni mlipojikwaa achana na mawazo ya kichawi uyo mayele ataendelea kutetema kutokana na uwezo wake ivyo ata nyie mjiandae kutunguliwa na mayele