Mabeberu wanapokaza nyuzi, Msisitizo zaidi mapato ya ndani

Ukikamatwa na trafiki wewe onesha Kadi yako ya chama
Tupeane mrejesho kama free pass hiyo inalipa.

Wa CDM, ACT, CUF, UDP, na wengine tupeane mirejesho zipi ni effective?

30,000 X 52 = 1,560,000/-

Kwa mwaka kwa mburula hawa sinayo!
 
Non interference policy ya China ni upuuzi mtupu.

Hiyo ni sera ya China kuendelea kupora mali katika nchi zinazotawaliwa kidikteta huku ikifumbia macho ufedhuli wa madikteta hao kwa watu wao wenyewe...
China hainaga mambo ya maslahi kwa watawala unaodhani ni dikteta tu, China haina ushabiki wowote na chama chochote popote Africa.

China haina ushawishi wowote kwa kundi lolote la kisiasa nchi yoyote barani Africa. kwa lengo la kupata chochote kile toka kwa chama kitachochukua dola kupitia msaaada ule ulio utoa kwa hilo kundi,

China inacho jali ni kazi na biashara na utawala wowote ule uliofanikiwa kupata dola, lkn hiyo biashara itategemea na uimara wake au udhaifu wake katka kunegotiate hiyo biashara na ukizubaa Mchina hana huruma anakunyonya kweli kweli,

Tofauti na Western, wao mara nyingi ndio hutaka nani aingie white house ili washirikiane nae kirahisi kuinyonya nchi na kulinda Maslahi ya kampuni zao na kusomba rasilimali zetu kupitia kuwasponsor hao wanao wataka wao mfano mzuri ni huyu jamaa yetu TAL tumeona wazi kabisa namna alivyo taka kumuweka madarakan ili awape kiulaini RASILIMALI ZETU ZA MADINI na nyinginezo,
Western wanatumia mgongo wa DEMOKRASIA NA HAKI ZA BINADAMU ndio maana TAL kaja na kauli mbiu ya UHURU HAKI NA MAENDELEO YA WATU
Ni dhahili kabisa ajenda ya western ilikuwa ndani ya kauli mbiu hii ya CHADEMA kwa maana ndio chama pekee kilichokuwa kimejitanabaisha kushika dola kwa nguvu yoyote ile iwe kwa kumwagadamu au la,

No new from Western indeed but their hidden agenda to dismiss the Real Africanist like JPM as what they did in Libya and Zimbabwe,

Truely, China is the only succeesful country than run its foreign agenda smart ever by not causing any violence to its partnership despite of its behavior of exploitating for the country which actualy not thinking well.
 
Hata mkitembea kwa miguu kuna sheria.. hakikisha unajua upande wako sahihi.

Pia hakikisha unavuka barabara sehemu husika tu.

Hakikisha unakuwa na nguo za reflector unapokuwa barabarani.

Vinginevyo tutawapiga faini hadi nyinyi watembea kwa miguu.
 
"Indeed, the west has nothing to learn from such stupid and selfish Chinese policies.

On the contrary China should learn from the Western countries to stand up to the dictators abusing the rights of their own citizens"
Well said..
We need global partners who have the necessary moral authority to call upon African dictatorial regimes to observe the rule of law, conduct peaceful, free and fair elections and adhere to various universal human right protocols upon which they are signatories
 
Shida yote hii tunayopata ni kufumba fumba madudu yaliyofanywa kwenye uchafuzi mkuu wa mwaka huu uliokipa ushindi wa kishindo chama chakavu cha bwana nanihii!
 
Mabibi na mabwana mabeberu ndiyo hao tena hamna shaka threads lazima kukazwa. Tumeshapigwa chapa kama matoto makaidi.

Madege 5 mapya ya kununua, mwendelezo wa SGR, meli mpya za kununua, mwendelezo wa ujenzi Stiggler's Gorge, nk inakuwa je sasa?

Habari za kuaminika ni kuwa ile wizara ya Lion chawene imeagizwa kukomaa vilivyo na maduhuli. Mwendo sasa ni kuwabana zaidi wenye vyombo vya moto (magari, bodaboda, bajaji nk) vilivyo na kadri iwezekanavyo ili kuwapokonya chochote walicho nacho.

Kuwa na chombo cha moto sasa "is a curse!"

Tayari zile faini za Kubambikiziana zimeshashika kasi mithili ya moto nyikani kwenye maeneo mbali mbali nchini.

Dawa yao hawa ni kuamua kutembea kwa miguu. Kwa umoja wetu tukitembea kwa miguu hata wiki moja tu kungewapa manunda hawa akili ya kutambua sote si mazezeta kama wale wa pale mboga mboga.

Hata ng'ombe mkamuliwa maziwa ukizidisha mbona utamtoa damu?

Uzuri wake kwa hili, numerali tunazisoma wote pamoja na ile mizezeta proper ya pale Lumumba.
Ngumu kumesa
 
Ni kweli Mkuu, baada ya miaka 10 HESLB wamekumbuka wananidai, kuanzia mwezi huu naanza kuliwa...Hii kauli "Mwaka Huu Hakuna Kupata Raha" Haimuhusu Kabudi tu🤣🤣🤣🤣
 
Kila mtanzania ajitegemee?
Serikali inategemea Kodi kutoka kwa wananchi iendeshe Taifa.
Serikali hiyo ambayo vyanzo vya uzalishaji havijaongezwa,Haina mahusiano mazuri na Western Countries,.
Wallahi Tutaula wa chuya sisi sote,Vizuri hii Hali haichagui.
Kwani wanaochongea ni wazungu au.ni nyie wenyewe ndo mnataka watususe?
Nadhani wanaochongea kwa kuwa wako huko ubelgiji sawa, ila wale washabiki wao ndo.tutabanana hapa.
 
Ngumu kumesa

Ngocha tuone mzee baba atavyotoa demo ya kumesa. Hili sasa linanasa waliokuwamo na wasio kuwamo. Kama mtego wa panya.

Labda hata bora wanaloliitisha kuliko waliodhani kuwa wao haliwahusu!
 
Back
Top Bottom