Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 16,442
- 41,509
Hatuna utu.Watu weusi tunachukiana sana, tunatesana, tunaoneana wivu, tunapenda kuwatawala Wenzetu....kiufupi hatujaweza kabisa kujitawala.
Ukiangalia mzizi wa haya yote ni kundi moja kutokuwa tayari kuhojiwa...yaani hata Mtu anayekushauri ushirikiane au usikilizane na Mswahili mwenzako ndugu yako mwenyewe unaona ni jambo gumu kama kifo unakimbilia kumlaumu yule anayekushauri.