Mabati ya rangi/sunshare kwa price list ya kiwanda

kuna alieezeka na mabati haya atupe mrejesho kama yanapauka au la
Kama una pesa yako umeipata kwa uchungu achana na haya mabati utakuja kulia , nenda ALAF uhakika wa ubora na rangi!! ALAF hawafanyi masikhara kwenye ubora wala huwezi kusikia mtu akilalamikia bati za ALAF.


Jpili Njema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom