C chimala Senior Member Joined Jul 2, 2010 Posts 174 Reaction score 60 Sep 20, 2012 #1 mabati ya msauz au yale yanayotengenezwa hata tz ya dizaini hiyo yanapatikana wapi hapa dar na yanauzwa bei gani
mabati ya msauz au yale yanayotengenezwa hata tz ya dizaini hiyo yanapatikana wapi hapa dar na yanauzwa bei gani
Mtumishi Mkuu JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 259 Reaction score 93 Sep 20, 2012 #2 chimala said: mabati ya msauz au yale yanayotengenezwa hata tz ya dizaini hiyo yanapatikana wapi hapa dar na yanauzwa bei gani Click to expand... ndg yangu Chimala, tulia kisha uulize swali lako. Kwa jinsi ulivyouliza naamini hata wewe huelewi vizuri unataka kujua nini!
chimala said: mabati ya msauz au yale yanayotengenezwa hata tz ya dizaini hiyo yanapatikana wapi hapa dar na yanauzwa bei gani Click to expand... ndg yangu Chimala, tulia kisha uulize swali lako. Kwa jinsi ulivyouliza naamini hata wewe huelewi vizuri unataka kujua nini!
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 17,859 Reaction score 27,464 Sep 20, 2012 #3 chimala said: mabati ya msauz au yale yanayotengenezwa hata tz ya dizaini hiyo yanapatikana wapi hapa dar na yanauzwa bei gani Click to expand... Piga namba hizi 0754-323335/0716-811067/0713-800828 hawa jamaa wanayo na watakuletea mpaka mlangoni kwako.
chimala said: mabati ya msauz au yale yanayotengenezwa hata tz ya dizaini hiyo yanapatikana wapi hapa dar na yanauzwa bei gani Click to expand... Piga namba hizi 0754-323335/0716-811067/0713-800828 hawa jamaa wanayo na watakuletea mpaka mlangoni kwako.
Voice of Wisdom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2011 Posts 537 Reaction score 240 Sep 20, 2012 #4 chimala said: mabati ya msauz au yale yanayotengenezwa hata tz ya dizaini hiyo yanapatikana wapi hapa dar na yanauzwa bei gani Click to expand... ninamfahamu mtu anayeuza hapa dar kwae bei ya chini kidogo(10,000) kwa mita. Kama hujapata msaada na bado unahtaji, nijulishe kwa pm kisha nikuachie mawasiliano
chimala said: mabati ya msauz au yale yanayotengenezwa hata tz ya dizaini hiyo yanapatikana wapi hapa dar na yanauzwa bei gani Click to expand... ninamfahamu mtu anayeuza hapa dar kwae bei ya chini kidogo(10,000) kwa mita. Kama hujapata msaada na bado unahtaji, nijulishe kwa pm kisha nikuachie mawasiliano