Mabati ya mikunjo/roma/versatile

Mabati ya mikunjo/roma/versatile

JMK ROYAL SERVICES

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
226
Reaction score
83
7a985d4f4ec76b45095f34bf60a139f8.jpg

Bati la VERSATILE/ROMA/KIGAE/MIKUNJO

Bati la VERSATILE/MIKUNJO yapo katika aina tofauti na mikunjo tofauti inategemea na machine kiwanda walichofunga,uzalishaji wake huwa slow kidogo kulinganisha na ya migongo mipana kutokana na kuwa na mikunjo mingi.
3d240bbc9bdfbf4e61b69379398d7017.jpg

Pia ni bati linalitaka uangalifu zaidi toka linapozalishwa mpaka wakati wa kupaua.

Kwa bati la sunshare hutengeneza bati hili kwa kiwango cha hali ya juu,na imara sana,kukinganisha pia na bati zingine
1ac1b6bda7489e1800d0bf1aa53a72c0.jpg

-Upana(overall width). upana wa 110cm sawa na 1100mm

Upana wa kuezekea(effective cover) ni 102cm

-Gauge yanapatikana kuanzia 26gauge,28gauge na 30gauge.

-Urefu linatengenezwa kuanzia urefu wa meter moja mpaka meter 12,kulingana na vipimo utakavyo

-material ni aluzinc
-Rangi ni blue,skyblue,green,brickred,charcoalgray,red,tile red na brilliant white .hazipauki.kuna maabara ya kupimia ubora na upaukaji wa rangi
780a78af7df3776267c2e7bb02740025.jpg

Bei:hutofautiana kulingana na gauge

Mabati ya mikunjo(Versatile) ,(roma)
upana wa 110cm

gauge 28 ni 40,500/piece ya urefu wa 3meter/10ft

gauge30 ni 35,130/piece ya urefu wa 3meter/10ft
........................................................

Call 0656-816616,0766-004940 kwa maelezo zaidi
 
Mpendwa Mteja! Sunshare Investment Ltd inakujulisha kwamba kuanzia wiki ijayo kutakuwa na ongezeko kidogo la Bei kufuatia kupanda kwa gharama za kuingiza Bidhaa nchini na ushuru bandarini. Hata hivyo kampuni inakuhakikishia Bidhaa bora na huduma nzuri. Daima tupo kwa ajili ya Ubora wa Maisha yako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya pandisheni tu
 
ONGEZEKO KIDOGO KWA BATI LA SUN SHARE.
kwa price list ya kiwanda.

Mabati ya msouth(IT5),(Migongo mipana)

-upana wa 107cm na 98cm

gauge28 ni 13,300/meter

gauge30 ni 11,900/=
.....,..................................................
It5-upana wa 87cm

gauge28 ni 9,900/meter

gauge30 ni 8,800/ meter
........................................................

It4 upana wa 81cm

28gauge ni 9,200/=meter

30gauge 8,100=/meter
........................................................
Mabati ya mikunjo(Versatile) ,(roma)
upana wa 110cm

gauge 28 ni 14,300/=meter

gauge30 ni 12,500/= meter

Royal-Roma 16,500/=meter
........................................................
Mabati migongo midogo(corrugated)upana wa 90cm ya rangi

gauge28 ni 9,900/meter

gauge30 ni 8,800/meter
........................................................
Mabati migongo midogo(corrugated)upana wa 86cm ya rangi

gauge28 ni 9,200/meter

gauge30 ni 8,100/meter
........................................................
Mabati yenye chenga za miamba(natural stone coated)

ni 20,000/ piece
........................................................
-Misumali ya bati kila rangi tzs 10,000/kg inakaa mia moja
........................................................
-Kofia na valley
14,000/= za urefu wa 3meter
.....................,..................................
-Material aluzinc
-Rangi,green,brick red,charcoal gray,b-white,blue,sea blue,tile red, red,etc
-Urefu utakao ww kuanzia meter moja mpaka 12meter kwa bati moja.
-Warranty 15 years k
-Yamethibitishwa na tbs
-Utapata mzigo ndani ya masaa 24 baada ya kulipia,
Tupo mikocheni pembeni na mayfair plaza
0713637508
,0753637508,0656-816616

Sent using Jamii Forums mobile app
 
d564435df7a865ad5b44bf37482b9e6b.jpg
56020c262d83d28651daa2fe43c3b4ac.jpg

JMK ROYAL SERVICES

-Ukitaka kupata elimu kuhusu bati

-kuuziwa bati kwa price list ya kiwanda

-gharama za usafiri

-kuepeuka usumbufu

-mabati bora na imara.

-Yamethibitishwa na tbs

-Utapata mzigo ndani ya masaa 24 baada ya kulipia,

-Tupo mikocheni pembeni na mayfair plaza
0713637508,0753637508
 
Mabati ya versatile/Roma mita 3,4,5,6 na 6.5 gauge 28. ela ngapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom