mabasi yatokayo mikoani

mabasi yatokayo mikoani

Boni burudani

New Member
Joined
Jun 1, 2013
Posts
4
Reaction score
0
kwa mujibu wa baadhi ya wasafiri wanasema leo tangu mida ya saa nane za mchana hakuna hata basi moja lililowasili katika stendi ya mabasi ubungo hadi usiku huu na katika kuuliza kwangu majibu niliyopatiwa ni kwamba mabasi yote ya mikoani yamegomea katika mizani maeneo ya kibaha mkoani pwani nje kidogo na jiji la dar
 
Back
Top Bottom