yanaonekana yamechoka sana na hizo bei, duh mie nakimbia. ungesema jipya lingekuwa bei gani, basi wengine ingesaidia kuona kama mtu analipa bei poa kwa zilivyochakaa. si upige picha zikiwa safi, zimepaki n hakuna ujao sijui wateja etc hata wa mbali waone.