Mabasi ya Tegeta Nyuki - Bagamoyo yagoma. Wananchi watumia Usafiri wa Bajaji nauli tsh 10,000 badala ya 1800

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,123
Taarifa zimfikie mbunge wa Kawe Askofu Dkt. Gwajima popote alipo kwa sababu inaelezwa Mabasi hayataki kuhamishiwa Bunju Sokoni ambako Nauli ya Dar - Bagamoyo itapungua kutoka tsh 1800 hadi tsh 1300

Leo wale Wananchi Pangu pakavu tia mchuzi chamoto wanakipata

Mabasi ya route ya Mbezi - Bagamoyo hayajagoma

Niko ndani ya Bajaj, kumbe Inawezekana 😂😂🔥
 
Mafuta juu, unadhani nao watataka nauli ishuje? Hakuna mjinga huyo.

Serikali inatuponza hapo kwenye gharama ya mafuta juu.
 
Taarifa zimfikie mbunge wa Kawe Askofu Dr Gwajima popote alipo kwa sababu inaelezwa Mabasi hayataki kuhamishiwa Bunju Sokoni ambako Nauli ya Dar - Bagamoyo itapungua kutoka tsh 1800 hadi tsh 1300

Leo wale Wananchi Pangu pakavu tia mchuzi chamoto wanakipata

Mabasi ya route ya Mbezi - Bagamoyo hayajagoma

Niko ndani ya Bajaj, kumbe Inawezekana

View: https://youtu.be/JTs_mLe9KLw?si=9rQhI4OcO0JdZxR3

Tapeli Gwajima hii treni ilifikia wapi ?
 
Back
Top Bottom