Mabasi ya New Force

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,206
18,548
Haya mabasi yananishangaza
1. Yote mapya kila siku
2. Mabasi ya zamani wanapelekwa wapi
3. Hayana rangi mpya, karibia yote yana rangi za kutoka viwandani
4. Mabasi yao yote ni Zongtong

Mwisho kabisa nani anamiliki haya mabasi?
 
kampuni hii nasikia kazi yao ni kuuza magari. kwa wakati ambapo hayajapata mteja yanabeba abiria. wanamuuzia mtu kufuatana na kilometa zilizotumika barabarani. kumbe gari uliyoiona mwezi uliopita huenda jana iliuzwa ikaja nyingine!
 
Your right mkuu, ndicho wanachofanya
 
kampuni hii nasikia kazi yao ni kuuza magari. kwa wakati ambapo hayajapata mteja yanabeba abiria. wanamuuzia mtu kufuatana na kilometa zilizotumika barabarani. kumbe gari uliyoiona mwezi uliopita huenda jana iliuzwa ikaja nyingine!
Sio ukwepa kodi huo?
 
Back
Top Bottom