napata shaka kama kweli serikali imelimit mwendo wa 40km/hr kwa mabasi ya mwendo kasi sababu maana halisi yaabas hayo ni kuokoa muda na kupunguza foleni dar,sasa kama ni kweli wamelimit hilo ni jambo la kushangaza kwa aliyelimit, yani wakati wenzetu wa dunian wanafanye juhudi kuokoa muda wa kufanya shughuli zao,sisi tuna fanya juhudi kuchelewesha muda. very sad