Mabasi ya mwendo kasi kwenda chini ya 40km/hr

x.jamex1

Member
Aug 2, 2014
76
27
Hivi kitendo cha sirikali kulimit mabasi ya mwendo kasi yasizidi speed ya 40km/hr mnaonaje hiki wakuu?
 
napata shaka kama kweli serikali imelimit mwendo wa 40km/hr kwa mabasi ya mwendo kasi sababu maana halisi yaabas hayo ni kuokoa muda na kupunguza foleni dar,sasa kama ni kweli wamelimit hilo ni jambo la kushangaza kwa aliyelimit, yani wakati wenzetu wa dunian wanafanye juhudi kuokoa muda wa kufanya shughuli zao,sisi tuna fanya juhudi kuchelewesha muda. very sad
 
Nadhani "ku-limit" kwake ni kule vituo kuwa karibu karibu.
 
napata shaka kama kweli serikali imelimit mwendo wa 40km/hr kwa mabasi ya mwendo kasi sababu maana halisi yaabas hayo ni kuokoa muda na kupunguza foleni dar,sasa kama ni kweli wamelimit hilo ni jambo la kushangaza kwa aliyelimit, yani wakati wenzetu wa dunian wanafanye juhudi kuokoa muda wa kufanya shughuli zao,sisi tuna fanya juhudi kuchelewesha muda. very sad
Kwa siku ya jana na leo madereva wanashuka mpaka 20km/hr wanaogopa pgwa fine
 
mie naona lengo la mwendo kasi halijafikiwa bado? maana sasa anaepanda daladala za kawaida nyote mnafika muda mmoja ama mtapisha kwa dakika chache tu. sasa sijui kulikua na umuhimu gani wa kugharamika kujenga miundo mbinu ya mwendokasi, bora wangepanua tu barabara wakatuacha na daladala zetu, kwanza hao mwendokasi wamekua wakitoa huduma mbovu sana kwa kuringia monopoly waliopewa, abiria wanabanana huku mabasi yame paki pale makao makuu yao, kwa mtazamo wangu mie naona huu mradi wa mwendokasi ni misuse of resource tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom