Mabasi ya mwendo kasi: Kibaka anaswa na kamera

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Moja wa mafanikio na usasa wa mabasi ya U-DART ni teknolojia ambayo jana ilimfanya dereva wa basi hilo kumuona kibaka akikwapua pochi ya mama ndani ya basi hilo na hatimaye kuwekwa chini ya vyombo vya dola

Chanzo: CLOUDS FM

My take

Wakati fulani Makonda wa kwa tumbo walikua wanashirikiana na vibaka...chonde madereva
 
Wajasiriamali wa aina hiyo wataongozeka sana kufuatia timua timua ya kariakoo.....waungwana tuwe makini na vilivyo vyetu pindi tuwapo sehemu zenye mikusanyiko ya watu na maeneo hatarishi......
 
Back
Top Bottom