Mabasi ya Mikoani na TV usiku wa manane

Mabasi ya Mikoani na TV usiku wa manane

VOICE OF MTWARA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
3,099
Reaction score
2,208
Wahudumu wa Mabasi ya mikoani yanayofanya safari usiku hebu jiongezeni tafadhali. Unakuta imeshafika saa 5 au 6 usiku, abiria wamelala lakini wao wataendelea kuacha TV zikiwa ON.

Abiria wanashindwa kulala kwa utulivu kutokana na kelele na mwanga wa TV unaoumiza macho.
Hivi ni nani akiwa nyumbani kwake anatazama TV saa nane usiku?!
 
Wahudumu wa Mabasi ya mikoani yanayofanya safari usiku hebu jiongezeni tafadhali. Unakuta imeshafika saa 5 au 6 usiku, abiria wamelala lakini wao wataendelea kuacha TV zikiwa ON. Abiria wanashindwa kulala kwa utulivu kutokana na kelele na mwanga wa TV unaoumiza macho.
Hivi ni nani akiwa nyumbani kwake anatazama TV saa nane usiku?!
Sheria zako ziishie nyumbani kwako dunia haiwezi kuwa vile unavyotaka wewe inaweza vipi watu 70 wote kwenye bus walale
 
Wahudumu wa Mabasi ya mikoani yanayofanya safari usiku hebu jiongezeni tafadhali. Unakuta imeshafika saa 5 au 6 usiku, abiria wamelala lakini wao wataendelea kuacha TV zikiwa ON.

Abiria wanashindwa kulala kwa utulivu kutokana na kelele na mwanga wa TV unaoumiza macho.
Hivi ni nani akiwa nyumbani kwake anatazama TV saa nane usiku?!
Kasim na wenzako hili nalo mkalitazame.
 
Wahudumu wa Mabasi ya mikoani yanayofanya safari usiku hebu jiongezeni tafadhali. Unakuta imeshafika saa 5 au 6 usiku, abiria wamelala lakini wao wataendelea kuacha TV zikiwa ON.

Abiria wanashindwa kulala kwa utulivu kutokana na kelele na mwanga wa TV unaoumiza macho.
Hivi ni nani akiwa nyumbani kwake anatazama TV saa nane usiku?!
Kuna wazee wa kukesha macho labda apunguze sauti ila asizime TV
 
Kuna basi wanazima kila kitu sasa kuna saaa unasikia mihemko flan huko siti za nyuma watu wa backbenchers
 
Wahudumu wa Mabasi ya mikoani yanayofanya safari usiku hebu jiongezeni tafadhali. Unakuta imeshafika saa 5 au 6 usiku, abiria wamelala lakini wao wataendelea kuacha TV zikiwa ON.

Abiria wanashindwa kulala kwa utulivu kutokana na kelele na mwanga wa TV unaoumiza macho.
Hivi ni nani akiwa nyumbani kwake anatazama TV saa nane usiku?!
Kwani kuna kitanda humo unalala?

Usiwapangie?
 
Back
Top Bottom