Mabasi ya 'Luxury'

Luxury Buses zilikufa na SCANDINAVIAN EXPRESS ,Now days hakuna tena Luxury Buses Bali tuna Two setter buses zilizo batizwa jina la luxury

Panda Ratco au Modern Coast Express ndio utajua...
 
Nishapanda Ratco na nimeishi Kenya pia..Scandinavia is a dead company but hakuna Company imesha fikia standard ile..infact ndio imeleta revolution ya transportation in East Africa..kuna kampuni Kenya Kama Eldoret express walijitahidi Ku copy but..nao wameshindwa...do u know watu walikuwa wadamka ASB from River road na Mombasa road just to see Scandinavia Parradiso?? Bus likiharibika ilikuwa laletwa lingine na msosi mnapewa..luxury isn't DVD or WiFi networks but the comfort assurance.. Enjoyment an a stress free journey to ua destination
 
aiseee babayangu panda akida trans kwenda kushini nangurukuru daraja la nkapa mwanzo mwisho ni mwendo wa korosho
 
Zinakuja tena soon uchaguzi upite salama.
Ila soda hazijawahi kuwa na nembo ya Scandinavian, maana walikuwa wananunua na kuletewa pale kamata but hakukuwa na extra business name.


 
Today's I have not gotten ua point clearly.. What au trying to clarify here? based on the nature of ua name it seems you started boarding buses on ua own on this age of this Chinese buses..but ask ua dady he will tell u why even up to now pole are saying we do not have standard luxury bus companies
 
Luxury Buses zilikufa na SCANDINAVIAN EXPRESS ,Now days hakuna tena Luxury Buses Bali tuna Two setter buses zilizo batizwa jina la luxury







Inategemea unazungumzia route gani, kama ni luxury kwa maana ya comfort kuna RATCO route ya Tanga, siti 2 by 1 (sio 2 by 2), friji, choo, ac, sehemu ya kuchajia simu/laptop, huduma za vinywaji na bites, kila siti ina tv, headphones etc
 
Ratco bado kufikia standards na kibaya they use Chinese buses...but wanajitahidi compared to Dar exp na Kilimanjaro
 

the fact is-i need people to realize what are the standard for a passenger bus to be called a luxury bus....on the other way round i'm old enough and capable to distinguish "which is which'',i don't belong to this Dot com generation in which chinese buses started to operate.....i was there since Tanganyika bus,KAMATA,MARATCO etc,you can't easily predict the meaning of my name....only few can understand the meaning of this name....
 
gari ilipopewa hiyo hadhi ilikuwa luxury kweli but kumbuka mabasi huwa yanachakaa na jina halibadilishwi..
sijawahi ona basi full luxury zaidi ya sumry la Dar - Mbeya
 

Ndio maana walifilisika! Eti walianza safari za Dar- Jburg South Africa kwa bus hakika walichemsha.
 
Pse come back

ha haa .....kosa kurudia kosa,hela nilipe nauli ya luxury na ni nyeshewe utadhani natembea kwa miguu,mhudumu mwenyewe mdomo mchafu kwa abiria....na hajawahi kwenda saluni hata siku moja...akikupitia karibu wakati wa kukagua ticket utadhani umepishana na beberu!!!
 
Usafiri wa Dar-Mbeya-Dar kuna Ndenjela Jet...kuanzia makonda wao wa kike na madereva utafikiri wamepitia kozi za huduma kwa wateja...Huwezi juta kutumia usafiri wao...kwao mteja ni mfalme, wanamheshimu, wanamjali na kumsikiliza...

Hao jamaa miaka yote toka wameanza business makonda wao ni 'mademu' tu

Ndenjela ndio habari ya mjini.
 
Ndenjela ndio habari ya mjini.

niliwaona wadada wazuri sana kwenye hilo gari hadi dere ni mdada, kuna siku traffick alikuwa anampiga mkono na huyo dada akaonesha ishara 'tulia' traffick kabaki akicheka tu.

they were very smart nadhani na wanawake wengine wajifunze pale kuwa kila kazi wanaweza kuliko kuwa magoalkeeper
 
panda tahmeed coach uje mombasa utaenjoy,full ac,tv tano,vinywaji,siti ni full leather

hawa wamiliki wa mabasi ya D.....s kutoka Arusha kwenda Dar inabidi waje kupata somo kutoka kwenu,basi likichakaa liondoe kwenye list ya mabasi ya luxury au nauli yake iendane na uhalisia,siyo mteja anakuja ofisini anakata ticket ya basi la luxury unampandisha basi ambalo mnaelewa halina kiwango cha luxury
 


Sasa hivi sijaona luxury njia ya Arusha-Moshi-Dar,hila kuna attachment nimeweka ya Spanish Coach Kenya njia ya Nairobi-Mombasa ndio inadeserve kuwa luxury.
 

Attachments

  • spanish coach.jpg
    32.9 KB · Views: 171
Sasa hivi sijaona luxury njia ya Arusha-Moshi-Dar,hila kuna attachment nimeweka ya Spanish Coach Kenya njia ya Nairobi-Mombasa ndio inadeserve kuwa luxury.


Mbona hii 'cha mtoto' kwa RATCO? Hebu tafuta humu humu JF kuna threads kadhaa za RATCO uone mambo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…