M mbeya1 Member Joined May 1, 2015 Posts 69 Reaction score 46 Aug 5, 2015 #21 bnf said: mi ni raia nisio na chama napenda kuuliza wanasheria wanisaidie hivi haya mabango ya LOWASA 2015 yamaweza kuitwa kama ni kuanza kampeni kabla au lah Click to expand... Ivi zile chupi za magufuli zile ni kampeni?
bnf said: mi ni raia nisio na chama napenda kuuliza wanasheria wanisaidie hivi haya mabango ya LOWASA 2015 yamaweza kuitwa kama ni kuanza kampeni kabla au lah Click to expand... Ivi zile chupi za magufuli zile ni kampeni?
T tufe JF-Expert Member Joined Apr 24, 2015 Posts 750 Reaction score 290 Aug 5, 2015 #22 bnf said: mi ni raia nisio na chama napenda kuuliza wanasheria wanisaidie hivi haya mabango ya LOWASA 2015 yamaweza kuitwa kama ni kuanza kampeni kabla au lah Click to expand... Hapana,SIO KAMPENI.
bnf said: mi ni raia nisio na chama napenda kuuliza wanasheria wanisaidie hivi haya mabango ya LOWASA 2015 yamaweza kuitwa kama ni kuanza kampeni kabla au lah Click to expand... Hapana,SIO KAMPENI.
Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,701 Reaction score 6,930 Aug 5, 2015 #23 bnf said: mi ni raia nisio na chama napenda kuuliza wanasheria wanisaidie hivi haya mabango ya LOWASA 2015 yamaweza kuitwa kama ni kuanza kampeni kabla au lah Click to expand... Yatakuwa ya utambulisho tu, ya kampeni bado.
bnf said: mi ni raia nisio na chama napenda kuuliza wanasheria wanisaidie hivi haya mabango ya LOWASA 2015 yamaweza kuitwa kama ni kuanza kampeni kabla au lah Click to expand... Yatakuwa ya utambulisho tu, ya kampeni bado.
K Kimbori JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 6,292 Reaction score 4,785 Aug 5, 2015 #24 Hayo ni maandalizi tu ya kumtambulisha mgombea. Subiri kazi yenyewe ya kumtambulisha. CCM waliasisi, UKAWA wanaendeleza tu.
Hayo ni maandalizi tu ya kumtambulisha mgombea. Subiri kazi yenyewe ya kumtambulisha. CCM waliasisi, UKAWA wanaendeleza tu.
Job K JF-Expert Member Joined Oct 4, 2010 Posts 9,314 Reaction score 7,165 Aug 5, 2015 #25 bnf said: mi ni raia nisio na chama napenda kuuliza wanasheria wanisaidie hivi haya mabango ya LOWASA 2015 yamaweza kuitwa kama ni kuanza kampeni kabla au lah Click to expand... Ni kampeni, sasa wewe unatakaje?
bnf said: mi ni raia nisio na chama napenda kuuliza wanasheria wanisaidie hivi haya mabango ya LOWASA 2015 yamaweza kuitwa kama ni kuanza kampeni kabla au lah Click to expand... Ni kampeni, sasa wewe unatakaje?
mgosi9 JF-Expert Member Joined Jun 17, 2014 Posts 1,581 Reaction score 261 Aug 5, 2015 #26 bado hajatambulishwa.
mgt software JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 13,793 Reaction score 7,165 Aug 5, 2015 #27 mwennye kipenga si apulize tu ccm waone vumbi la ukawa? ndio watajua ni makapi au punje halali
eliringia babueli Member Joined Jul 28, 2015 Posts 36 Reaction score 4 Aug 5, 2015 #28 Kunya anye kuku akinya bata kaharisha
Freeland JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 14,481 Reaction score 10,233 Aug 6, 2015 #29 kampeni ndani ya chadema