Mabanda ya wauza vitabu mitaani..

Mbona naona meza tu, sijaona banda bado
 
nakuona kushoto kwa huyo dogo....umezeeka kidogo Mzizi Mkavu, huko nyuma hukua hivi
 
kuna tatizo gani hapo, au wewe una allergy na kusoma vitabu? ukitaka kumficha mtz siri, weka kwenye maandishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…