moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,948
Pole, pole sana mkuu. Wengi twatamani kukiri ila ujasiri hautoshi. Japo yasemwa mkubwa hakosei wadogo ila kwa tukio lile wahenga wangekuwepo wangebadili kauli.Ila yule mzee!Nimemvua vyeo vyote.Kabaki kuwa kuruta nanga.Hajui anamaliza lini kozi ya siasa!