Mabadiliko

Mabadiliko

mr clean

Member
Joined
Jun 19, 2012
Posts
16
Reaction score
1
Mabadiliko ni hatua si jambo la mara moja.yawezekana kabisa wanaopambana leo juu ya mageuzi ya kweli.sio watakaopata fursa ya kuwa viongozi.mbegu ya mageuzi inayopandwa leo ni kwa ajili ya kesho ya watoto wetu.nisafari isiyo na mwisho wala hakuna ajuaye ataikamilisha nani kwa kuwa bado naishi ninatimiza wajibu wangu
 
Back
Top Bottom