Mabadiliko.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabadiliko..

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by jacjaz, Dec 11, 2011.

 1. jacjaz

  jacjaz JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Hivi ni kwanini wengi wetu tunabadilika baada ya ndoa hata kama uchumba ulidumu muda mrefu kiasi cha kutosha kujuana vyema!?

  mfano; mtu ulimjua kuwa ni mcheshi,muongeaji mzuri tu,mshauri wa ukweli na anakwenda na wakati,ila baada ya ndoa anakuwa mpole,mwenye aibu zaidi na anayekubali kila kitu toka kwako bila hata kushauri tena kama awali?! ukiuliza anakwambia anakuheshimu! mwanzo haikuwa heshma au!?

  ova, kama nimesomeka....
   
 2. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  in other words hata kitandani anabadilika kuliko ilivyokuwa awali,si ndio?
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  mbona mimi naonaga mabadiliko ya opposite....???????
   
 4. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #4
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,660
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Kabisaaaa,kwa kumaanisha mwanzo alikuwa akifanya mambo ili aweze kumteka huyo mwenza kihisia na mengineyo kisha akishakuwa chini ya himaya yake anajua hawezi kufurukuta ndio anachomoza makucha yake...vitu kama kupiga, matusi ya nguoni,chuki kwa ndugu wa mwenza nk. ndo huwa mara nyiingi vinajitokeza baada ya kuingia kwenye ndoa....
   
 5. Poriposha

  Poriposha JF-Expert Member

  #5
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sometime kuchokana kunakopelekewa na kutokuwa na mapya katika mahusiano yenu/yao
   
 6. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #6
  Dec 12, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Inategemea anabadilikaje kwenye mabaya kwenda mazuri au mazuri kwenda mabaya?but all in all mpenzi wako ni jinsi unavyomhandle tu mnaweza mkawa wote for even ten years na akawa kama mmekutana jana
   
Loading...