Mabadiliko yatakayoiponya nchi

Msajili wa vyama vya siasa kutokuchaguliwa na Rais bali na vyama vya siasa vitakaa na kuamua namna ya kumchagua msajili wa vyama vya siasa kazi ya Rais ni kumuapisha
 
Ni ukweli kwamba kuna-sintofahama kubwa sana inayoendelea nchini kwa sahivi,
  1. Wananchi walio wengi hawana imani na mahakama
  2. Wananchi walio wengi hawaamini mchakato wa uchaguzi
  3. Wananchi walio wengi hawaamini kwenye bunge
  4. Viongozi walio wengi sio wote hawawatumikii wananchi inavyotakiwa
 
Mkaguzi wa miradi ya serikali huyu atakua anachagulia na wananchi na atakua ni engeineer na atakagua miradi yote iliyofanywa na kutathmini kama inaendana na thamani ya fedha iliyotengwa na inaubora unaostahili
 
Kazi nyingi ulizozitaja ni za kuombwa na wananchi wenye sifa na usaili kufanyika kupitia TUME MAALUM YA AJIRA kisha kupitishwa kwenye Bunge na kuapishwq na Rais
 
Mbunge ni lazima aishi kwenye jimbo lake sio haki hata kidogo na ni ukatili mkubwa sana mbunge tunakuchagua alafu unaenda kuishi dar jimboni unakuja kama mtalii
 
Msajili wa vyama vya siasa kutokuchaguliwa na Rais bali na vyama vya siasa vitakaa na kuamua namna ya kumchagua msajili wa vyama vya siasa kazi ya Rais ni kumuapisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…