jsenyinah
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 249
- 339
Wakuu,amani iwe kwenu!
Kipindi kifupi kabla na baada ya uchaguzi mkuu tuliona namna ambavyo makampuni ya simu kama Voda na Tigo walituachia neema kubwa hasa kwenye vifurushi vyao,hasa MBs na Dakika za kujiachia Sana'a!
Cha kushangaza, kuanzia mwezi wa 3, 2016 wamebadilisha gear angani.Wanatuminya ipasavyo kuliko hata kipindi kabla ya uchaguzi. Mwenye sababu atujuze hapa
Nawasilisha.