ChamaDola
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 3,431
- 2,804
Tunaenda kwenye Chaguzi za Kata 22 na Jimbo Kule Zenji!
Kabla ya Hata Mpambano Kuanza CHADEMA Wameshashindwa!
Mathalani,Wamejaribu Kurecruit Wabunge 22 na Madiwani 300+ Ili Wakampenie Kata Nne Zinazopatikana Ukanda wa Kasikazini!
Hoja ya Ukanda Imepata Nguvu Tena!
Vipi Hizi Kata 18?
Lema,Lissu,Msigwa,na Mnyika Pamoja na Mbowe Hawana Moral Authority ya Kuuponda Uöngozi wa Magufuli:Hawana Ajenda,iwe Ufisadi,Demokrasia au Udikteta!
Wakiondoka Hawa Viongozi Ajenda Hizi Zitapata Nguvu!
Najiuliza CHADEMA Mtauzia Ajenda Gani Wananchi?
Maana Hizo Ajenda Tatu Kuu Hazina Mtu Msafi wa Kuzisema Ndani ya CHADEMA!
Nauliza Hizi Kata 18 Top Guns Gani wa CHADEMA Wataenda?
CCM Kwa Kuwajali Watanzia Tutazianza Hizo 18
Natutazipata Zote!
Na Hata Kata Hizo 4 Hamtozipata!