Mabadiliko ya Kikatiba Ndani ya CCM

ChamaDola

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
3,431
2,804
Wakuu,
Halmashauri Kuu Ilishaazimia yafuatayo katika kikao chake cha 13-12-2016:
a)Kupunguza idadi ya wajumbe wa Kamati Kuu toka 34 mpaka 24!
b)Kupunguya idadi ya Wajumbe wa Halmashauri toka 380+ mpaka 158!
c)Kupunguza idadi ya mikutano na vikao!
Mathalani Halmashauri toka kila baada miezi 4 mpaka 6!
Kamati Kuu toka miezi 2 mpaka 4!
e)Cheo Kimoja Mtu mmoja!
f)Kuondoa vyeo visivyo vya kikatiba!
 
Hapo kwenye vikao vya Halmashauri kuu ndiyo sielewi kabisa. Nijuavyo mimi Halmashauri Kuu ndiyo policy making body. Sasa iweje ikutane mara 2 tu kwa mwaka? Sasa Kamati kuu itakuwa inajadili nini kama hakuna input kutoka Halmashauri Kuu?
 
Cost cutting
 
Safi punguza vyeo na mwenyekiti asiwe raisi au asiwe amiri jeshi , au mkuu wa dola mkuu wa serekali vyeo vyote mtu uyo uyo

Hapo ndipo napoipenda ccm coz mwenyekiti atajitathimini vyeo vyake then aamue kujipunguzia
 
demulikuy asante kwa maoni yako nadhani ushauri wako utazingatiwa!
Halafu Mkuu Chamadola kama kupunguza vikao ni cost cutting basi mliangalie upya. Jifunzeni toka ANC jinsi ya kujitegemea kichama. Uhai wa chama ni vikao. Na hili tunalisisitiza siku zote. Mambo mengi yanajadiliwa na kutolewa maamuzi kwenye vikao vya chama. Unavyopunguza vikao kutakuwa na impact kwenye uhai wa chama. Ni mawazo yangu lakini
 
Safi punguza vyeo na mwenyekiti asiwe raisi au asiwe amiri jeshi , au mkuu wa dola mkuu wa serekali vyeo vyote mtu uyo uyo

Hapo ndipo napoipenda ccm coz mwenyekiti atajitathimini vyeo vyake then aamue kujipunguzia
Kupunguza vyeo visivo vya kikatiba, easy to understand isn't it?
 
Johnny Sack ndio ya mwaka jana!
Kama unakumbuka kikao cha tarehe 13-12-2016,pale Ikulu kiliazimia kuleta haya mabadiliko!
Maazimio hayo yaliletwa kwa wanachama huku chini ili kujadiliwa!
Na kuanzia Ijumaa tarehe 10-03-2017 mpaka jana 12-03-2017 ilikuwa ni kuyapitisha kuwa mabadiliko halali ya Chama!
 
Hapo kwenye vikao vya Halmashauri kuu ndiyo sielewi kabisa. Nijuavyo mimi Halmashauri Kuu ndiyo policy making body. Sasa iweje ikutane mara 2 tu kwa mwaka? Sasa Kamati kuu itakuwa inajadili nini kama hakuna input kutoka Halmashauri Kuu?
Ni kweli. Vinginevyo,maamuzi mengi yatakuwa ya mtu mmoja au wawili (m/kiti na K/mkuu). Labda kutakuwa na ongezeko la vikao vya dharura.
 
Castr sio za kweli!
Kwani miaka yote umekuwa ni "utamaduni" wa ccm kumwachia Rais anayetawala "kupita bila ya kupingwa" ktk mchakato wa kupata mgombea wa Urais kama ametawala muhula mmoja!
 
Hapo kwenye vikao vya Halmashauri kuu ndiyo sielewi kabisa. Nijuavyo mimi Halmashauri Kuu ndiyo policy making body. Sasa iweje ikutane mara 2 tu kwa mwaka? Sasa Kamati kuu itakuwa inajadili nini kama hakuna input kutoka Halmashauri Kuu?
Ni kweli. Vinginevyo,maamuzi mengi yatakuwa ya mtu mmoja au wawili (m/kiti na K/mkuu). Labda kutakuwa na ongezeko la vikao vya dharura.
demulikuy nadhani kutakuwa na wakati wa mpito,chama kitaangalia kione kama haya mabadiliko yana tija!
Shida ya viongozi wengi wa Africa ni ubishi na kupenda madaraka yasiyo na challenges! Huo muda wa mpito hautatumika kama unavyodhania! Matokeo utayaona,ikiwa wa juu watapata less challenges kutoka wa chini,ndiyo imetoka na utaambiwa unafaa. CCCM ni chama changu tangu 1984 nikiwa Sec. Nilitaraji, wajumbe waongezeke ili Chama kijipanue zaidi kukabili ushindani . Kinapojipanua,kinapanua na vitega uchumi zaidi tufike mahala hata fursa za ajira tutoe kwa vijana wetu kupitia koti la Chama na siyo Serikali. Natamani kukutana na Mh. Polepole tuongee ana kwa ana.
Tusiwe na mentality za kizamani kuwa na wajumbe wengi kwa ajili ya kulinda kura hivyo kuwa na mzigo wa kulipana posho. Tuwe wengi strategically. Siyo lazima kila kikao kiwe na posho. Mbona Serikalini hatujapunguza Mawaziri lakini tumepunguza gharama na kazi zinaenda vizuri zaidi?
 
Kididimo siyo kuwa hata na mie nayaunga mkono mabadiliko yote,la hasha!
Naunga mkono dhana ya Cheo Kimoja Mtu Mmoja kwani itawapa nafasi watu wengine ndani ya ccm,naunga mkono dhana ya kuondoa mamluki ndani ya chama,na ninaunga mkono ufutaji wa vyeo visivyo vya kikatiba!
Ila siungi mkono upunguzwaji wa wajumbe katika ngazi mbalimbali ndani ya Chama,hii ni kama kuwanyuma "ajira" watanzania wenzetu,pia siungi abadani upunguzwaji wa idadi ya vikao na mikutano,kwani nashindwa kuelewa tutajitadhimini vipi kama Chama na tutajadili vipi kwa uharaka mrejesho wa kisiasa toka saiti?
Lakini,je usimamizi wa Serikali utakuwa endelevu na wenye tija?
Tutaibana vipi Serikali?kama meno ya vikao na mikutano imeng'olewa?
Na je,tutawezaje kuwa up to date na harakati za Upinzani,na jinsi ya kuwa contain?
Maswali ni mengi kuliko majibu!
 
Back
Top Bottom