IamPrince George
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 412
- 168
(a)SHERIA inasema SPIKA anaweza kuwa Mtanzania yeyote mwenye sifa za kuwa mbunge. (Means si lazima awe mbunge)
(2)"Dola" inataka Dr.Tulia awe SPIKA lakini upepo wa Wabunge unavuma kwa Mh. JOB NDUGAI.
(3)Wakati huo huo, SHERIA na KANUNI vinaelekeza kuwa "NAIBU SPIKA" ni SHARTI achaguliwe kutoka MIONGONI mwa wabunge!
(4) Hivyo, Baada ya "Dola" kuona kuwa "lolote linaweza kutokea"na Dr.Tulia akaukosa ndipo imebidi kwa haraka haraka AFANYWE kuwa "mbunge"! Mwenendo unaonyesha pengine akaapishwa mapema zaidi kuliko wenzake!
(5) Kwa kuwa Nafasi ya Naibu Spika iliombwa na "Mh.Zungu" pekee, nafikiri "NIA YA KUMTEUWA DR.TULIA", iko clear beyond reasonable doubt!!...
...kwamba akikosa huku, basi atapata huku kwa KIGEZO CHA "GENDER BALANCE"!
Hii itapelekea kuhakikisha kuwa wakati wote wa mijadala mizito itakayoigusa serikali, 'Dr.TAM' ndiye atakayepaswa kusimamia shughuli za Bunge kwa kigezo cha Spika ambaye ni "MWANASHERIA MBOBEZI"!! (Hapa ukumbuke; Ndugai ni mtaalam wa mifugo kutoka SUA).
My Take:
BUNGE SASA LINAPANGWA NA SERIKALI.
TUTASUBIRI SANA MABADILIKO!
Kuna sintofahamu kubwa katika hili, kwanza katiba imevunjwa na mamlaka ya juu katika mchakato huu. Sijui wanatuona hatuijui katiba.
[Hawa jamaa wanajeuri saana.. wanaamini hamna wa kuwafanya chochote.
Wanafanya wanachotaka.
Hata zanzibar si unaona wanayoyafanya.
Wanajua watanzania wamelala Ucngizi wa pono...hkn reaction yyt toka kwa umma
Sheria ni kwa vyama vingine sio CCM wenye nchi yao,
Daaah inauma sana nakumbuka Prof kitila na Dr kahangwa mlivyochimbwa biti.
Kwa nafasi alivyokuwa nayo Tulia hakuruhusiwa hata kuwa mwanachama kisheria lakini ndiyo hivyo tena.
Tuliingia kwenye mfumo wa vyama vingi tukiwa na mfumo wa Chama dola. Kimsingi hii haikuwa bahati mbaya ili ni NJAMA za CCM. Ilikuwa ni kuwahadaa walimwengu kuwa Tanzania is a multiparty democracy while its a de facto one party authoritarian state. Ndio maana CCM kuitoa kwa kura kwa hali ilivyo is next to impossible.
Jaji Nyalali alishauri kabla ya kuanza rasmi mfumo wa vyama vingi itolewe elimu ya uraia for two years,
CCM will only be uprooted by democratically unconventional means.
Mtu km Ndugai km kiongozi wa muda mrefu kwa kitendo cha kumpiga mgombea mwenzie hadharani alitakiwa awe jela. ..km Kiongozi anajua ni kosa kujichukulia sheria mkononi anajeruhi jamaa anakwenda zindukia hospital hafu anaachwa na leo atakabidhiwa kuongoza mhimili wa kusimamia serikali, kuamua na kutunga sheria...ni Tanzania hii hii kijana anatukana hadharani viongozi waliowahi kuwa waandamizi anapewa coverage kwenye media kadhaa na kesho yake anapewa Zawadi ya kuwa DC. Shame.
Kosa lingine tena la kiufundi ni pale tulipokubali mfumo wa vyama vingi na kuanza kuutekeleza bila kubadiri katiba.
Mimi nasema tena humu, bila kushirikiana kwa pamoja na kuweka pressure ya kudai katiba mpya, kuiondoa ccm itatuchukua muda sana.
Hili ya mamlaka kuvunja katiba ni ishara tosha ya maguvu waliyo nayo na kwa namna ambavyo wanaweza kufanya lolote bila kuogopa MTU. Wanaomiliki majukwaa mbalimbali mtusaidie kuanza mchakato wa kudai katiba.
But Mkapa ndiye aliyeleta "new norms" kwenye siasa alipowazawadia vyeo maaskari waliowaua wa zanzibar 27 mwaka 2001. Pia JK alafuata nyayo kwa kumzawadia askari aliyeamuru mauaji ya Daudi Mwangosi. Hatujui waliowatesa Ulimboka nk wao walizawadiwa nini.
Na huyu mama alishiriki kikamilifu kuiandika katiba ya Chenge... nathan wanalengo lao kutaka kumuweka huyu mama....
Wengine wanafikiri
kuhamasishe civil disobedience, non - cooperation na resistance to the regime,
Watakubali kuja mezani. Kwa kuanzia tungeshinikiza serikali ya kitaifa sasa ili kupunguza nguvu ya kidola ya CCM kama CUF walivyofanya zanzibar!
Civil disobedience aliitumia Mahatma Gandhi na alifanikiwa, kwa mwenendo wa siasa za Tanzania na ushiriki wa Kova unatia Mashaka Sana katika hii movie. Ila kama uma ukiamua naamini wataelewa tu.
Serikali haiji katika mazingira ya kwetu ambapo CCM wana lundo la wabunge,
not possible in Tanzania..
Nchi ya watu wasiojali..
Hatuwezi kudai haki kwa nguvu ya umma..
Na kwa kutegemea democracy; it is clear kwamba CCM hawatakubali kubadili mambo yanayowapa nafasi ya kukaa ikulu..
Nimejifunza kupitia katiba ya warioba.
Tukubali tu kuwa; dawa ni kurudi kwenye one party system..
It's true prof. Lakini katika mazingira ya sasa ambapo wagombea wa upinzani katika nafasi ya urais wamechaguliwa na zaidi ya 40% pamoja na wizi wa CCM kukubaliana CCM pekee ndio itwalale basi ni kukubaliana na udikteta wa wengi.
Kuna mwanasiasa mmoja alishawahi kusema, wanaochagua viongozi si wapiga kura, wanaochagua viongozi ni wahesabu kura wakishirikiana na watangaza kura. Huyu jamaa alikuwa na mantiki sana, inawezekana kabisa kura za upinzani zinatosha kukiondoa chama tawala, kinachoshindika hadi kuonekane kura hazitoshi ni mianya ya utoroshwaji na ubadirishaji wa matokeo, hili likidhibitiwa nadhan haki itaonekana. Tunayoyapendwkeza ni majibu ila jawabu ni katiba.