Maazimio ya kamati kuu ya CHADEMA

If you are really stronger, why would wish your enemy to die???
 
Kweli wewe Quinine imekupofusha. Unafikiri, utendaji kazi wa idara hiyo ni wakuona kwa macho yako ya nyama. Unajidanganya.
Mbona wanajulikana.
 
MWAMBIENI DADY AACHE FUTUHI
Kama anafanya kazi njema kwanini anahangaika na kusema nawataka kwa gharama yeyote?Futuhi hiyo
 
Nimesikitika sana kwa pambano hilo kuisha bila TKO!
 
Chadema imeweka "Clean sheet"
 
Wazee wa tunguri mnashida
Pathetic, ndio mmefikia kujadili hoja hizi na kujisifia. Hatari sana!
Death is hovering over chadema.
 
Yehodaya ndiye sangoma wa ccm, amekaa wazi mchana njia panda kupiga ramli. Utakufa mjinga wewe.
 
Itakuwa Nyalandu ameshindwa kufanya kazi yake aliyotumwa...,huyu jamaa kila task anayopewa anafeli sijui ana mikosi.
Hamshindi Gufuli na bashite, hakuna walilolianzisha likafanikiwa.
 
Kimepoteza kwa nguvu ya kuminywa na kupigwa kila kukicha.
Zamani kilikuwa kikiminywa ndo kinazidi kuwa relevant kwa UMMA.
Siku hizi Tangu tuwawezeshe CCM kuweka wagombea wawili wa URAIS 2015 hata UMMA hauna interest na chama chetu.
 
Hiyo inamaanisha kamati kuu imekuwa bubu...imepigwa na butwaa...imepata ganzi [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…