Kama hadi sasa bado hakuna tetesi wala fununu ya kilichojadiliwa basi nimeamini mamluki na wasaliti wameanza kupungua ndani ya chama
Pamoja na usalama wa taifa zaidi ya 50 kumwagwa kwenye hoteli ya Regency Park ili kujua kinachojaliwa bado waliishia kueneza propaganda za Lema na Jacob kupigana.
Kwa heri Patrobas Kitambi na team yako.
Bila maazimio wananchi wafanye nn ktk wakati huu wa sisa kiza?Maazimio ni kuwataka Wabunge wao wajitoe kwny Timu ya Netball ya Timu ya Bunge!
Hata Kipovu anajua kabisa Jahazi la Chagadema limetoboka Tanga lake, uelekeo wake ni uelekeo wa Upepo
Endelea kujitia farajaKama hadi sasa bado hakuna tetesi wala fununu ya kilichojadiliwa basi nimeamini mamluki na wasaliti wameanza kupungua ndani ya chama
Pamoja na usalama wa taifa zaidi ya 50 kumwagwa kwenye hoteli ya Regency Park ili kujua kinachojaliwa bado waliishia kueneza propaganda za Lema na Jacob kupigana.
Kwa heri Patrobas Kitambi na team yako.
Kama hadi sasa bado hakuna tetesi wala fununu ya kilichojadiliwa basi nimeamini mamluki na wasaliti wameanza kupungua ndani ya chama
Pamoja na usalama wa taifa zaidi ya 50 kumwagwa kwenye hoteli ya Regency Park ili kujua kinachojaliwa bado waliishia kueneza propaganda za Lema na Jacob kupigana.
Kwa heri Patrobas Kitambi na team yako.
Pathetic, ndio mmefikia kujadili hoja hizi na kujisifia. Hatari sana!Kama hadi sasa bado hakuna tetesi wala fununu ya kilichojadiliwa basi nimeamini mamluki na wasaliti wameanza kupungua ndani ya chama
Pamoja na usalama wa taifa zaidi ya 50 kumwagwa kwenye hoteli ya Regency Park ili kujua kinachojaliwa bado waliishia kueneza propaganda za Lema na Jacob kupigana.
Kwa heri Patrobas Kitambi na team yako.
Lema na Jacob kupigana kwa CCM hiyo ndiyo issue muhimu.Kuna nini cha kufuatilia CHADEMA?
Ngoja nianze kumwaga kamati kuu imeteua watu wawili kuingia kamati kuu nyalandu na ole sosopi.Pili Chadema imejiltoa haitashiriki uchaguzi wa marudio.Imewapa onyo wabunge watatu na kuwatishia kuwafukuza chama.Imewataka lema na meya Jakob waende kukanusha kupigana kwao .kikao cha Jana kilivunjika bila makubaliano kwenye mambo kadhaa siweki hapa ila Jana kulikuwa cha moto hasa.Wanaendelea kuwashana Leo.Jana kuficha aibu ndio walikuja na kale katamko ka kutaka wabunge wajitoe michezo EALA .Kuna makundi Ndani ya Chadema yanavutana kikaoni kuna kundi LA slaa,Lowasa na mbowe.Wana mvutano mkubwa kikaoni.Sumaye pia naye ana kikundi chake ambacho kinajidai hakina upande kikaoniKama hadi sasa bado hakuna tetesi wala fununu ya kilichojadiliwa basi nimeamini mamluki na wasaliti wameanza kupungua ndani ya chama
Pamoja na usalama wa taifa zaidi ya 50 kumwagwa kwenye hoteli ya Regency Park ili kujua kinachojaliwa bado waliishia kueneza propaganda za Lema na Jacob kupigana.
Kwa heri Patrobas Kitambi na team yako.
Mko makini kufuatilia ya CHADEMA mmeacha kiki za Mkiti wenu huko Dodoma kwa vile mnajua hana jipya zaidi ya kupokea makapi toka upinzani.Ngoja nianze kumwaga kamati kuu imeteua watu wawili kuingia kamati kuu nyalandu na ole sosopi.Pili Chadema imejiltoa haitashiriki uchaguzi wa marudio.Imewapa onyo wabunge watatu na kuwatishia kuwafukuza chama.Imewataka lema na meya Jakob waende kukanusha kupigana kwao .kikao cha Jana kilivunjika bila makubaliano kwenye mambo kadhaa siweki hapa ila Jana kulikuwa cha moto hasa.Wanaendelea kuwashana Leo.Jana kuficha aibu ndio walikuja na kale katamko ka kutaka wabunge wajitoe michezo EALA .Kuna makundi Ndani ya Chadema yanavutana kikaoni kuna kundi LA slaa,Lowasa na mbowe.Wana mvutano mkubwa kikaoni.Sumaye pia naye ana kikundi chake ambacho kinajidai hakina upande kikaoni
Itakuwa Nyalandu ameshindwa kufanya kazi yake aliyotumwa...,huyu jamaa kila task anayopewa anafeli sijui ana mikosi.Kama hadi sasa bado hakuna tetesi wala fununu ya kilichojadiliwa basi nimeamini mamluki na wasaliti wameanza kupungua ndani ya chama
Pamoja na usalama wa taifa zaidi ya 50 kumwagwa kwenye hoteli ya Regency Park ili kujua kinachojaliwa bado waliishia kueneza propaganda za Lema na Jacob kupigana.
Kwa heri Patrobas Kitambi na team yako.
Unataka maazimio gani wakati mmeshapewa tamko la kususia michezo ya wabungeKama hadi sasa bado hakuna tetesi wala fununu ya kilichojadiliwa basi nimeamini mamluki na wasaliti wameanza kupungua ndani ya chama
Pamoja na usalama wa taifa zaidi ya 50 kumwagwa kwenye hoteli ya Regency Park ili kujua kinachojaliwa bado waliishia kueneza propaganda za Lema na Jacob kupigana.
Kwa heri Patrobas Kitambi na team yako.
Mkuu umenifurahisha sana na hizi nyuchi ni kila idara mpaka ikulumsijidanganye Bado mko uchi
Pole, kwahiyo leo chakubanga kawaambia hayo ndiyo maazimio maana jana aliwaambia Lema kapigwa ngumi na meya.Unataka maazimio gani wakati mmeshapewa tamko la kususia michezo ya wabunge
Lile azimio la kutoa mawakili wa kumsaidia Mange kufunguliwa tena akaunti yake lilipingwa vikali na lowassa,likafa kibudu