Maazimio ya Kamati Kuu CHADEMA

Tayari mwakyembe ni mpinzani kunyumba kwake...kyela tupo macho we always need changes.

pamoja na Steven Wasira , nimefurahi sana kwa Bunda kuangukia mikononi mwa Chase a
 

Mkoa wa mara tumetishaje! weweeeeeeeeeee! chezea Muraaaa!
 
"1. Nkasi - Namanyere
2. Hai - Bomang'ombe.
3.Karatu - Karatu.
4. Arumeru Mashariki - Usa river.
5.Vunjo - Ukawa.
6. Mbeya vijijini - Mbalizi.
7. Mbozi Maghari - Tunduma.
8. Mbozi Mashariki - Mlowo.
9. Kyela - Kyela.
10. Lupa - Makongorosi.
11. Busanda - Katoro.
12. Geita - Geita.
13. Chato - Chato.
14. Kwimba - Ngudu.
15. Karagwe - Kayanga.
16. Bukombe - Ushirombo.
17. Sengerema - Sengerema.
18. Tarime - Tarime.
19. Tarime - Sirari mji mdogo.
20. Rorya - Shirati ( 7/2).
21. Bunda - Bunda.
22. Serengeti - Mugumu 10/10 ( CUF 3).


Nimeamini Bongo ndio maana vyama haviwezi ungana. Mfano mwepesi sana ni huu wa uchaguzi. Kabla ya uchaguzi tumesimama wote kwa pamoja kama UKAWA lakini kwenye matokeo kwakuwa chadema tumewapa ushindi na nyie kutojinasibisha na UKAWA. Kwa sasa ukawa unaonekana ni CUF na NCCR!! Hili linatusononesha wengi sana. Tumetoa tahadhari humu jf lakini bado mmeendelea kujitenga kujitaja kama nanyi ni UKAWA.

Nimesononeshwa
 
Ukawa walikubaliana kumsimamisha mgombea mwenye nguvu, angalia eneo kama Vunjo ni ngome ya Nccr kwa sasa na wameshinda maeneo mengi, haina maana kuwa cdm wamewasaliti Ukawa
 
Safari bado mbichi kwani hadi sasa; Vijiji CCM 80.5% Ukawa 19.5%, Mitaa CCM 71% Ukawa 29%

Huu ni uchaguzi wa mashinani kwa mwelekeo huu CCM wajiandaa kushindwa sana kwenye kura zà maoni ya kuchagua katiba pendekezwa! Kutokana na kashfa nyingi na watendaji mizigo na viongozi wanaondekeza makundi kama Nape CCM lazima iondoke!

CCM itegemee kudhoofika zaidi wakati wa uteuzi wa mgombea urais mwezi watano 2015. Pia wakati wa kura za maoni ya kuwapendekeza wagombea viti vya udiwani na ubunge!
 

Kwa hiyo wewe uliposikia neno Ukawa ukadhani vyama vinavyoiunda vimefutwa? Sheria inavitambua kimoja kimoja na matokeo yanatajwa ya kila chama. Hata hao wengine wasimame watangaze matokeo yao.
 
Viol: Angalia aliyeileta hapa sio official source ya CHADEMA. Aliyeleta kaileta kwa ushabiki wake na chama. Hakuna anaesema chama kiite watu kiishie kuongea hayo tu!

Kama haumfahamu Molemo ni nani Chadema bora uulize,na jana kwenye press conference alizungumza pia.
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo wewe uliposikia neno Ukawa ukadhani vyama vinavyoiunda vimefutwa? Sheria inavitambua kimoja kimoja na matokeo yanatajwa ya kila chama. Hata hao wengine wasimame watangaze matokeo yao.

Huyo Jamaa akili yake haijala siku nyingi. Ana reflect ujinga na utapia mlo wa akili yake.
Mpotezeeni tu.
 
Hongera sana Chadema na Ukawa kwa ujumla mlichopata si haba itakuwa chachu ya mabadiliko katika uchaguzi mkuu ujao,

CCM ilikuwa ikiwatumia viongozi wa vijiji na mitaa kufanya kampeni kabla ya uchaguzi wenyewe sasa itawawia vigumu kwa vile tayari hata kama Ukawa hawakushinda uenyekiti sehemu hiyo wana wajumbe wa kutosha nchi nzima.
 
Sasa CCM ikiorodhesha miji iliyoshinda Si itakuwa balaa tena jamani? Dr Slaa this is too low for you, it's a cheap politics kwa kweli.

Only 27 subtowns? Kweli unasimama Mbele ya watu unatambia hilo kweli? Yaani kwa miji hiyo ni sawa na kusema Kyengege, Ulemo, Misigiri, Kiomboi, Old Kiomboi, Shelui, Maluga nk...... Pole Sana Babu
 
Huyo Jamaa akili yake haijala siku nyingi. Ana reflect ujinga na utapia mlo wa akili yake.
Mpotezeeni tu.

Habari za Kinampanda ndugu yangu? Vipi Kinampanda mambo mazuri? Nani kashinda hapo kyalosangi?
 
Hongera kwa lipi? Sasa subirini mwakani hali itakuwa mbaya Mara dufu kwa UKAWA kuliko CCM.

Nashukuru hapa kwetu Iramba CCM imeshinda vijiji 68 Kati 70 Na UKAWA 2 tu kufanya CCM kushinda vijiji kwa 98% na vitongoji CCM kufanya 96%
 
daaa 2019 by hook or clook lazima mpwapwa tuisukume mpaka kwenye hiyo list, najickia wivu sana kwa wenzetu waliofikia hyo hatua
 
Popote ulipo Habinder Singh Seth hakikisha unakwamisha maazimio ya Bunge letu TUKUFU ili mziki huu uwe mnene mwaka mzima mpaka uchaguzi MKUU utasaidia sana na watanzania wengi watakuwa wameamka juu ya wizi wa kutisha uliofanywa.JK na wewe kaa kimya ili watu wawe na akili maana uvivu wa kufikiri kwa watanzania ni mkubwa ili wajue kama wameibiwa wanatakiwa hata wakienda hospitali Wafie milangoni maana Dawa hakuna,UMEME upande ikiwezekana watu walipe laki mbili na nusu kwa mwez.maana hili TAIFA ni la Vilaza.kikwete oyeeeeeeee,Harbinder Singh Seth oyeeeeeeeee,maisha magumu kwa kila MTANZANIA safiiiiiiiiiiiiiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…