MAASKOFU,MASHEIKH NA NGO's Tokomeza haiwahusu?

Makamee

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
2,029
1,191
Nafupisha mada:
Nashangazwa na ukimya wenu ktk haya madhila yaliowapata Watanzania ktk Operation Tokomeza Ujangili.
Kila mpenda haki amehuzunishwa na repoti ya kamati ya Bunge.
Nilitaraji nyinyi kama vioo ktk jamii tusikie walau neno la FARAJA toka kwenu lakini mpaka leo kimya.
1.Maaskofu kimya
2.Masheikh kimya
3.TGNP mpo kimya
Au hayo yaliyotokea Ktk Operation Tokomeza kwao wameyaona ya kawaida sana?
 
Au bado wanatafakari wapi waanze kutoa pole kwa mawaziri waliondolewa au watoe pole kwa wahanga.
 
Umeniharibia Siku bila kutarajia!bora wa NGO's kuliko hawa wa dini hawa watu ni wataalam wa kutanguliiza maslahi mbele ndo sababu hata serikali haina hata wa kuikemea kati yao.Ndugu Yangu huku ni kizaazaa.Angekuwa mwenye pesa amekumbwa na hayo ungeona pole nyingi na za ajabu.Kwa ujumla habari ya masikini kwenye dini kwisha!Nimewahi kusikia kiongozi wa dini akisema hawezi kumwalika kiongozi fulani wa chadema kwa sababu hana hela akasema ataalika wa chama Fulani kwa sababu ana hela na anajua ni fedha chafu!unategemea witu kama hawa watoe tamko!pole yetu watz
 
Nafupisha mada:
Nashangazwa na ukimya wenu ktk haya madhila yaliowapata Watanzania ktk Operation Tokomeza Ujangili.
Kila mpenda haki amehuzunishwa na repoti ya kamati ya Bunge.
Nilitaraji nyinyi kama vioo ktk jamii tusikie walau neno la FARAJA toka kwenu lakini mpaka leo kimya.
1.Maaskofu kimya
2.Masheikh kimya
3.TGNP mpo kimya
Au hayo yaliyotokea Ktk Operation Tokomeza kwao wameyaona ya kawaida sana?

Pamoja na ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanyika,bado kuna juhudi za majangili zilipenyezwa hapo hapo ili kutafuta unafuu wa kuwawezesha kuendelea na biashara yao ya ujangili.
 
Pamoja na ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanyika,bado kuna juhudi za majangili zilipenyezwa hapo hapo ili kutafuta unafuu wa kuwawezesha kuendelea na biashara yao ya ujangili.

Haya yameshafanyika wale wa wanaotoa misaada ya kisheria mbona kimya?
 
Back
Top Bottom