Kama wewe ni mfugaji au una mpango wa kuanza mradi wa ufugaji samaki ,sasa unaweza kupata vifaranga vya samaki aina ya kambale kwa bei poaa kabisa ya sh 400. Pia tunatoa elimu ya ufugaji wa samaki maji baridi, tunatengeneza chakula cha samaki (powder),tunasimamia utengenezaji wa mabwawa pamoja na kudizain sehem ya kutotoleshea vifaranga vya samaki(hatchery). Tunapatikana Mbagala- charambe kwa mawasiliano piga simu namba; 0767353674,,0653829901