Maandishi kubadilika

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
684
Reaction score
201
Ninaomba kufahamishwa Kwa mini unapoandika hasa kwenye hizi simu smartphone maandishi huwa yanajibadili mfano utakuta hapo juu nimeandika neno Kwa nini imekuja Kwa mini
 
hio ni auto correction na mara nyingi inakuwa optimized kwa lugha ya kingereza, ukitumia kiswahili ndio yanatokea majanga kama hayo. kutoa nenda setting then language and keyboard tafuta keyboard yako then nenda setting zake untick mambo yote yanayohusiana na auto correction na spell checker then save.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…