Maandishi hayasomeki kwenye simu

Maandishi hayasomeki kwenye simu

Joined
Apr 16, 2021
Posts
19
Reaction score
20
Habari wataalam,

Naomba msaada simu yangu kwenye mitandao ya kijamii kama facebook na instagram kuna baadhi ya maandishi hayasomeki inatokea alama tu kama zinavyoonekana kwenye picha hapo chini.

20230116_143641.jpg
 
Habari wataalam
Naomba msaada simu yangu kwenye mitandao ya kijamii kama facebook na instagram kuna baadhi ya maandishi hayasomeki inatokea alama tu kama zinavyoonekana kwenye picha hapo chini.View attachment 2483402
Itakubidi ujieleze kwa kina sio unasema tu hayasomeki eleza unatumia simu gani aina gani android or !!? Ili tuweze kujua unakwama wapi
 
Habari wataalam
Naomba msaada simu yangu kwenye mitandao ya kijamii kama facebook na instagram kuna baadhi ya maandishi hayasomeki inatokea alama tu kama zinavyoonekana kwenye picha hapo chini.View attachment 2483402
Taarifa haijitoshelezi hii. Watumia operating system gani? Je kabla ya hii hali kuna mabadiliko uliyafanya katika simu yako kama vile software update au installation. Hiyo shida ni kwenye apps zote au baadhi au web browser au wapi?

Ukija na majibu ya hayo maswali ndio watu tutajua tuanzie wapi kukushauri au kukusaidia, otherwise peleka kwa fundi Issa ukiwa na 30K mkononi
 
Ameshasema ni Samsung Galaxy S6 Edge, kwa hiyo tayari hiyo simu ni Android(5-7)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom