unafuata kuhonga hizo pesa unazopata, like mnavyowahonga mashamba-boyznapata pesa
napata care
naenjoy sex
napata time ya kuwa na ww
kwingine nikafate nn
Upropose nini?
Naanza kuuelewa msemo wa chenge, nyinyi wanawake ni mijoka ya makengeza mnasaka pesa, sasa upewe pesa za nini wakati mko wote full time.
wa kwenye ndoa
ingawa mm ni mwanamke
wewe endelea tu kujifanya uko bize bado kidogo ntasepa maana uvumilivu umeshaanza kunishinda mie
Kama kuna ukweli ndani yake.....!?
hilo la muda wanaume wengi sana linawashinda wacha wachapiwe tu
Tatizo hamjatuelewa na hamtaki kutuelewa na kamwe hamtatuelewaYou will never satisfy a woman. Wengi walijaribu wakashindwa. Hapo mwanzo Adam alijaribu kumwonyesha eve kuwa anampenda kwa kula tunda la mti wa Kati.
Tatizo hamjatuelewa na hamtaki kutuelewa na kamwe hamtatuelewa
spend less, save more
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ukipata mwanaume anaekupa vyote hivyo vinne, then utatafta kijana hata kama ni mwendesha Bodaboda ( a.k.a yule unaempenda moyoni) ili na wewe ukamuhonge pesa unazopewa Pritty wa joseph
Uko vizuri...umeongea point za maana sana....ila upande wangu what i need is CARE, GOOD SEX + TIME pesa haina nguvu sana kwangu.
Umetishaa...hilo la muda wanaume wengi sana linawashinda wacha wachapiwe tu
Kile ambacho wewe hunaSikio la kufa haliskii dawa
mwanamke kama hakutaki ndio bas tena.
halaf hivi yeye mwanamke akisha pewa hivi vyote yeye ana offer nini?
Hahahahhaha haiwezekani bhanaUkipata mwanaume anaekupa vyote hivyo vinne, then utatafta kijana hata kama ni mwendesha Bodaboda ( a.k.a yule unaempenda moyoni) ili na wewe ukamuhonge pesa unazopewa Pritty wa joseph