Steven Robert Masatu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2009
- 2,458
- 1,826
hayo maadish hayamaanishi hivyo dada yangu, kwa uelewa wangu ni kuwa, hilo lilikuwa ni onyo kwa mwanaume aishi na mwanamke kwa kutumia akili kwa kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu, ni mwepesi wa kudanganyika."Enyi wanaume Ishini na wake zenu kwa akili" Mungu alikuwa anajua anachosema,kama huna akili mwanamke atakukoroga maisha yako yote na utaishia kusema "women are so complicated". Wanawake huwa wanaongea vitu 'kirahisirahisi tu' lakini huwa vinamaanisha 'vitu vigumu ajabu' wanawake wanaweza kukwambia "mi nataka mwanaume anipende tu basii.
Ukidhani kwamba upendo wako unatosha kwake utakuwa umefeli wanawake wanahitaji vitu vi nne na vyote viiende kwa pamoja(Perpendicularly) vitu hivyo ni;
1.Hela
2.Good sex
3.Caring man
4.Muda
Kuna wanaume wanajua "kukaza vizuri" mwanamke anatosheka,na wana hela ila wako bize.Hii factor ya wewe kuwa Busy tu itamfanya mtu mwingine mwenye muda "amkaze kiulaini kabisa" halafu wewe utashangaa."Mke wangu nampa kila kitu,hela za kila kitu nampa.
Yes,amekaa muda mrefu uko bize unasaka hela na adui namba 1 wa mwanamke ni lolness. A lonely woman can easily be trapped by anyone,hata houseboy akimpa attention endlessly anakula mzigo unataka mwanamke awe wako peke yako.Fuata kanuni ishi nae kwa akili mpe muda,mpe hela, mpe kisago kitandani,mpe care na attention sikiliza maneno hayo 👆 uyatendee kazi.
Nawasiisha 🌹❤👆👆
hilo la muda wanaume wengi sana linawashinda wacha wachapiwe tu
you never know where you stand with women simply because they never know where they stand with themselves.
Nyoka alimpa nini hawa katika hivyo vi-4?
hilo la muda wanaume wengi sana linawashinda wacha wachapiwe tu
Ule mkataba wa Beijing naona unatakiwa ufanyiwe review. Hapa naona hata wahusika wakuu hawautaki huo mkataba.
Laiti kama wangekuwa wanakubaliana na huo mkataba nisingeona Hii thread hapa.
Naomba kuuliza mtoa mada, mwanamke yupi unamuongelea ? Wa kwenye ndoa au ambaye hajafunga ndoa?
Kaka yangu muelewa sana.Hilo halina ubishi tatizo mwenzangu na mie mhhhhh
Mmmm, ngumu kumesa.
So tuache kusaka noti kwa ajili ya feture ya familia tukae home kuwachapa nao tu,dah!!
Mwanamke ikiwa hajatulia hajatulia tu hata umpe na roho yako.Wako wapi ke wanaoweza kuvumilia ata miezi mitano bila ya kuliwa
Ivi ni kweli mtu aache baadhi ya kazi zake kwa ajili ya mwanamke?
napata pesa
napata care
naenjoy sex
napata time ya kuwa na ww
kwingine nikafate nn
napata pesa
napata care
naenjoy sex
napata time ya kuwa na ww
kwingine nikafate nn
Ua such briliant mkuu, can i propose please?