Maandiko yaliposema

Pritty wa joseph

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2014
Posts
2,379
Reaction score
2,052
"Enyi wanaume Ishini na wake zenu kwa akili" Mungu alikuwa anajua anachosema,kama huna akili mwanamke atakukoroga maisha yako yote na utaishia kusema "women are so complicated". Wanawake huwa wanaongea vitu 'kirahisirahisi tu' lakini huwa vinamaanisha 'vitu vigumu ajabu' wanawake wanaweza kukwambia "mi nataka mwanaume anipende tu basii.

Ukidhani kwamba upendo wako unatosha kwake utakuwa umefeli wanawake wanahitaji vitu vi nne na vyote viiende kwa pamoja(Perpendicularly) vitu hivyo ni;

1.Hela
2.Good sex
3.Caring man
4.Muda

Kuna wanaume wanajua "kukaza vizuri" mwanamke anatosheka,na wana hela ila wako bize.Hii factor ya wewe kuwa Busy tu itamfanya mtu mwingine mwenye muda "amkaze kiulaini kabisa" halafu wewe utashangaa."Mke wangu nampa kila kitu,hela za kila kitu nampa.

Yes,amekaa muda mrefu uko bize unasaka hela na adui namba 1 wa mwanamke ni lolness. A lonely woman can easily be trapped by anyone,hata houseboy akimpa attention endlessly anakula mzigo unataka mwanamke awe wako peke yako.Fuata kanuni ishi nae kwa akili mpe muda,mpe hela, mpe kisago kitandani,mpe care na attention sikiliza maneno hayo �� uyatendee kazi.

Nawasiisha ��❤����
 
Mwanamke ikiwa hajatulia hajatulia tu hata umpe na roho yako.Wako wapi ke wanaoweza kuvumilia ata miezi mitano bila ya kuliwa
Ivi ni kweli mtu aache baadhi ya kazi zake kwa ajili ya mwanamke?
 
sera ya wanawake na maendeleo itungwen in a such a way that wasiwe wategemezi wa kipato otherwise watatawaliwa milele
 
bora wewe,lakin mm naamin mwanamke anaweza kumfanya mwanamme akakuridhisha kimapenzi!

as long as nyote ni wawazi....ni wajibu wa mwanamke kumwambia mwenzi wake kipi kinamfurahisha,wapi akiguswa ndo anasikia raha zaid....the same kwa mwanaume....inshort ni jukumu la wote kuridhishana.....na sio baadhi ya wanaume wanaojifikiria wao wenyewe tu
 
Mwanamke ikiwa hajatulia hajatulia tu hata umpe na roho yako.

Wako wapi ke wanaoweza kuvumilia ata miezi mitano bila ya kuliwa???

Ivi ni kweli mtu aache baadhi ya kazi zake kwa ajili ya mwanamke?

mkuu nina miezi sita niko dasalam napiga shule...unamaanisha tayari washammega...!
 
You never know where you stand with women simply because they never know where they stand with themselves.

nyoka alimpa nini Hawa katika hivyo vi-4?
 
Shida ni tafsiri ya upendo ndio Imekuwa ngumu kidogo kueleweka tafsiri ya upendo wa Mke na Mme ni kuchukuliana madhaifu yenu na Sio uimara wenu wapenzi wa sasa hatusimami na watu wetu ili kuwasaidia pale wanapokwama ila tu pale wanapofanikiwa kama nimejitahidi na kukupa vitu vitatu kati ya vinne unavyohitaji na ukageuka na kumfata mtu mwingine ambaye amekupa kimoja tu na kumuona ndiye bora hata kama hayuko na hakuwa tayari kusimama na wewe mble ya kadamnasi na kusema nakubali kuwa nae kwa shida na raha basi hata kama ningetoa uhai wangu kukuokoa bado hutathamini kumbuka unapoingia kwenye mahusiano especially mahusiano ambayo ni serious kama ndoa unaoana na binadamu Sio malaika so hawezi kuwa perfect na akishindwa msadie that is what we call love.
 
Some wise guy once told me, Wanawake hawana formula, msome wako halafu songa nae.
 
wanawake wana ubinafsi,,,, coz wanajiona wao ndo wahitaji sanaaaaaaa........muelewe hata sie ni binadamu na twahitaji mahaba vilevile.......kuku kanya akinya bata kaharisha.......
 

Hiyo ni formula yako, kila mwanamke anayo yake;
Mwingine yye ni:
1-pesa
2-pesa
3-Pesa
4-PESAA

Mwingine ni:

1. Ngono
2. Ngono
3. Ngono
4. We Mtie tu pesa atatafuta mwenyewe, ukishindwa kumgonga ataenda kununua anayejua kugonga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…