maandamano

emma115

Senior Member
Joined
Apr 28, 2012
Posts
135
Reaction score
167
Leo watoto wenye umri kuanziamiaka mitatu kushuka chini wanaandamana kuelekea wizaraustawi wa jamii kudai kuibiwa jina lao "BABY" na kupewa watu wazima wenye ndevu kila sehemu wanaitana BABY, kweli watoto wananyimwa haki yao."kwani hamna majina yenu mpaka muitane "BABY" "Wapelekee wale wote wanaoitwa baby na wapenzi wao
 
ha ha haaaaaaaa! Baby nnunulie simu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…