Bosco Ntaganda
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 1,490
- 1,682
Dini zimesha tugawa dini ni ubeberu.watz tunashindwa kufanya maamuzi ya pamoja kwa sababu udiniKabla hamjashikana mikono physically kwanza mshikane kwa kuwa na common goals ya mnachogombania nacho ni issues ambazo zinamsumbua kila mtu.., na mjifunze kuangalia issues na sio kuangalia mambo kwa miwani za Uchama, Udini au hata Ukabila - hio ndio silaha wanayotumia watawala (WAO na SISI) Case in Point hata humu ndani mnapigana wenyewe kwa wenyewe..
Mkuu unavyosoma sentensi ukifikia kwenye nukta, na kuanza sentensi nyingine unasahau mwanzo wa sentensi iliyopita ? Unaelewa context ?Kwa nini wewe umeyafikiria hayo "mambo ya uchama, udini, ukabila", kuwa ndizo sababu za wanaopinga Samia na Genge lake wanazitumia? Kubadili utawala mbovu huoni kuwa ni muhimu?
Vipi ninavyoelezea ?!!! Kuna mtu ambaye hakumbwi na shida ya issues zinazoendelea kwa sasa ? Ukosefu wa Ujira, Ufujaji wa Kodi zetu, Utawala usiofaa, watu kutokuwajibika, huduma mbovu n.k. (hizo ndio issues nazoongelea mimi) na umoja ni nguvu wakati kuna man made (watawala made issues) ambazo zinakuwa planted na watawala na zinawagawa kwahio ku-dilute nguvu zenu (hakuna Umoja); Chama A kikisema hivi inaonekana ni sawa Chama B kikisema vile inaonekana sio Sawa badala ya kuangalia Usawa wa Vice Versa ya kinachosemwaLakini hata kama ingekuwa kama hivyo unavyo eleza wewe; kama lengo la kuung'oa utawala mbovu litafanikishwa na makundi hayo, hilo bado litakuwa ni jambo jema.
Naam jana JPM, leo Samia kesho atakayekuja (hao wote ni Chupa) kama hamtabadili mvinyo (Issues) mtaendelea kuwa madaraja ya watu kupata Kura kwenda KulaHizo tofauti unazodai wewe zitashughulikiwa baada ya kutimiza lengo kuu, la kumwondoa Samia na Genge lake madarakani.
Nimesema asitoke au anafaa ?!!! Kwahio unaamini kuna Makundi na yanabidi kuondoka ? na wa kuyaondoa ni wewe na mimi na yule kwa kugundua adui yako sio your fellow brother and sister bali issues na maadui zetu bado ni Umasikini, Ujinga na Magonjwa, na inabidi tupambane na yoyote anayewalea maadui hawa na kuwafanya waendelee kustawi (kwa kuendekeza ufujaji, rushwa pamoja na kutapakaza kodi zetu na urithi wa taifa la kesho) - Be it Samia au yoyote yule atakayekuja kesho au keshokutwa; and NOW na sio kungojea every next FIVE years ili kucheza betting ya kwamba huenda huyu ndiye...Kwanza yeye ndiye kapalilia hayo makundi unayoyasema hapa.
Haya ni maoni yako;( what you believe); siyo maoni ya mtu mwingine, ni yako.Kabla hamjashikana mikono physically kwanza mshikane kwa kuwa na common goals ya mnachogombania nacho ni issues ambazo zinamsumbua kila mtu.., na mjifunze kuangalia issues na sio kuangalia mambo kwa miwani za Uchama, Udini au hata Ukabila
Unasema, "kabla hamjashikana mikono physically..." Unataka waTanzania wakafanye hayo yote unayoona wewe kuwa ya maana zaidi, halafu ndipo waje kushughulika na kuondoa utawala mwovu huu; umewawekea muda wa kuyafanya hayo unayoshauri wewe, unajuwa itachukuwa muda gani?Mkuu unavyosoma sentensi ukifikia kwenye nukta, na kuanza sentensi nyingine unasahau mwanzo wa sentensi iliyopita ? Unaelewa context ?
Nimeongea maoni yangu ambayo yapo kwenye post yangu na context yake inajieleza nilichosema tofauti na wewe ulichojibu (sasa unataka usome post yangu na kuchukua context kutoka kwenye kichwa chako) ?Haya ni maoni yako;( what you believe); siyo maoni ya mtu mwingine, ni yako.
Sasa unanitaka niangalie 'context' toka wapi?
Unaweza vipi kufanya kitu physically kushikana mikono wakati mentally hamjagundua kwamba nyote mna common goals lakini mmezivika miwani za Uvyama; Udini na kila takataka ? Badala ya kupambana na common goals ambazo zinamgusa kila mtu mmejikita kwenye mediocrity ya differences zenu ambazo wala sio sababu ya shida zenu....Unasema, "kabla hamjashikana mikono physically..." Unataka waTanzania wakafanye hayo yote unayoona wewe kuwa ya maana zaidi, halafu ndipo waje kushughulika na kuondoa utawala mwovu huu; umewawekea muda wa kuyafanya hayo unayoshauri wewe, unajuwa itachukuwa muda gani?
Hio maana umeitoa wapi ? Unachoongelea kumaliza tofauti zao ndio Tatizo lenyewe; bila kuondoa Uvyama, Udini na kila takataka inayotumiwa na watawala kuwatenganisha mtaendelea kupiga mark-time sababu hata atakayekuja atatumia tofauti hizo kuwagawa na kwa kumuongelea Samia pekee as a product ndio inaonyesha kwamba unaprone magugu badala ya kuyangoa (sababu ubovu wa Samia na hata atakayekuja kesho ni product) kwahio haipaswi jana wala juzi hata kesho kuridhika na upuuzi wowote unaofanyika be it kaufanya Samia au yoyote yule... Now the means of doing that might a debate to follow, ila bottom line bila kuondoa mzizi huu wa WAO na SISI mtaendelea kuruka ruka kama karanga kwenye kikaango huku kuni za kuwachoma zinabadilishwa kila zikiisha kwa kuleta nyingine....Kwa maana yako ni kuwa ni heri Samia Suluhu Hassan aendelee na uovu wake hadi hapo waTanzania watakapokuwa wamemaliza tofauti zao zote za mambo hayo uliyo yataja wewe?
Kutokukubaliana na Maoni yangu that is your prerogative..., ila kutafsiri maoni yangu kwa mawazo yako na kutaka nikubaliane na tafsiri yako..., is going a bit far to say the least....Siamini kuwa una nia ya kumtetea Samia na Genge lake; lakini sikubaliani na maoni yako kama ulivyo yawasilisha hapa.
Kama unajiandikia mwenyewe ili ujielewe unavyotaka na siyo kwa wasomaji wanavyo elewa kilicho andikwa; kwa nini uhangaike kukiandika!Nimeongea maoni yangu ambayo yapo kwenye post yangu na context yake inajieleza nilichosema tofauti na wewe ulichojibu (sasa unataka usome post yangu na kuchukua context kutoka kwenye kichwa chako) ?
Unataka ""common goal" ya ziada ipi mbali na hiyo ya kumwondoa mwovu madarakani? Hicho ndicho kipaumbele kabla ya hayo mengine unayotaka yashughulikiwe kwanza.Unaweza vipi kufanya kitu physically kushikana mikono wakati mentally hamjagundua kwamba nyote mna common goals lakini mmezivika miwani za Uvyama; Udini na kila takataka ? Badala ya kupambana na common goals ambazo zinamgusa kila mtu mmejikita kwenye mediocrity ya differences zenu ambazo wala sio sababu ya shida zenu....
Kuhusu kupangia mtu muda wala sipangii (to each their own) ila ndio hivyo mtaendelea kugawanywa na kutawaliwa through your differences wakati nyote shida zinazowakumba hazichagui utofauti wenu....
Nimeitoa kwenye maandishi yako yanayohimiza hao wanaoshikana mikono kuyashughulikia hayo mengine yote unayotaka wewe kabla ya kugeuzia nguvu zao katika kumng'oa Samia na Genge lake.Hio maana umeitoa wapi ?
Kwahio unadhani naandika ili kila mtu aelewe anavyotaka yeye ? Mimi naandika nikiwa na maana fulani haujaelewa unauliza ukinganganiza maana yako iwe maana yangu sasa ungeandika wewe na sio mimiKama unajiandikia mwenyewe ili ujielewe unavyotaka na siyo kwa wasomaji wanavyo elewa kilicho andikwa; kwa nini uhangaike kukiandika!
Yatafanyika JF😅View attachment 3484933
Siku ikifika kila mtu atashika mkono wa Jirani yake, watashikana na kuunda mnyororo wa watu nchi nzima
Naam nyie mnaotaka kumuondoa madarakani ni Haki yenu Kikatiba wale wanaotaka abaki ni haki yao Kikatiba pia kwahio ni kutafuta njia ya nyote nyie kuweza kuonyesha grivances zenu katika eneo la UMMA bila kuzuia Haki ya mwingine..., Lakini ndio hapo watawala wanapopenya wakati Ufujaji mali, na Uongozi mbaya una-affect kila mtu maisha yake lakini Kumuondoa fulani Madarakani huenda isiwe common kwa majority sababu mtaanza kupigania aingie nani ili na yaye aende Kula...; LAKINI Uongozi mbaya na shida zozote zinazosababishwa na aliyepo ni Common sababu at that instance sio sababu ni Nani bali sababu imegeuka kuwa matokeo (Hata kesho akija ambaye wewe unamuita ni wa Kwako bali utambana kama akileta Uongozi mbovu na sio Sababu ni WAO na sio SISIUnataka ""common goal" ya ziada ipi mbali na hiyo ya kumwondoa mwovu madarakani? Hicho ndicho kipaumbele kabla ya hayo mengine unayotaka yashughulikiwe kwanza.
Aisee!!!!!! Mleta UZI kaleta hii Comment and I Repeat....Nimeitoa kwenye maandishi yako yanayohimiza hao wanaoshikana mikono kuyashughulikia hayo mengine yote unayotaka wewe kabla ya kugeuzia nguvu zao katika kumng'oa Samia na Genge lake.
Maneno yako yapo wazi hapo yalipo andikwa.
Kwani kwa mtu kama wewe kusema na kuamini hivyo ni jambo la kushangaza?Yatafanyika JF😅
Actually you're wasting my time.Naam nyie mnaotaka kumuondoa madarakani ni Haki yenu Kikatiba wale wanaotaka abaki ni haki yao Kikatiba pia kwahio ni kutafuta njia ya nyote nyie kuweza kuonyesha grivances zenu katika eneo la UMMA bila kuzuia Haki ya mwingine..., Lakini ndio hapo watawala wanapopenya wakati Ufujaji mali, na Uongozi mbaya una-affect kila mtu maisha yake lakini Kumuondoa fulani Madarakani huenda isiwe common kwa majority sababu mtaanza kupigania aingie nani ili na yaye aende Kula...; LAKINI Uongozi mbaya na shida zozote zinazosababishwa na aliyepo ni Common sababu at that instance sio sababu ni Nani bali sababu imegeuka kuwa matokeo (Hata kesho akija ambaye wewe unamuita ni wa Kwako bali utambana kama akileta Uongozi mbovu na sio Sababu ni WAO na sio SISI
Sawasawa. Tuendelee na mengine ya muhimu zaidi kwa sasa hivi kuliko kupotezeana muda kama hivi tunavyofanya sasa.Kwahio unadhani naandika ili kila mtu aelewe anavyotaka yeye ? Mimi naandika nikiwa na maana fulani haujaelewa unauliza ukinganganiza maana yako iwe maana yangu sasa ungeandika wewe na sio mimi
Kuna watu wakipita kwenye huu uzi wanakunja sura km wamelishwa ndimu hawataki kusikia kabisa haya masuala