GE2025 Maandamano yatafanyika

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kabla hamjashikana mikono physically kwanza mshikane kwa kuwa na common goals ya mnachogombania nacho ni issues ambazo zinamsumbua kila mtu.., na mjifunze kuangalia issues na sio kuangalia mambo kwa miwani za Uchama, Udini au hata Ukabila - hio ndio silaha wanayotumia watawala (WAO na SISI) Case in Point hata humu ndani mnapigana wenyewe kwa wenyewe....
 
Labda itakuja kutokea ,lakini njaa na tamaa inawaponza watanzania.
 
Umemalizaaaaa
 
Sina uhakika kama itatokea hayo maandamano
 
Kama kweli maandamano yapo yaanze leo. Kwani kinasubiriwa nini?
Naona porojo tu!
 
I can't wait kuona wananchi wa buza na kwa mpalange wakishikana na mikono na kuandamana, wakiachana na maisha yao magumu ya Mchele robo, kudaiwa kodi, pesa ya kitafunwa na za watoto shule, kumlipa dada wa kazi, pesa ya matibabu, mtoto wa shangazi kaja kwetu, khadija kafumaniwa, hajalipwa mshahara wake wa elfu 80, bodaboda inahitaji service, jana hajala, na kwenda kuandamana kwa ajili ya future bora ya taifa bila kuogopa kuumia vibaya, kupigwa na polisi au kufa kabisa kwa risasi. Sababu hakuna kitu bora kwao kama siasa wasizozielewa.

Itakuwa kama ile movie ya US kutoka kwa Jordan Peele. I'm excited!
 
Kwa nini wewe umeyafikiria hayo "mambo ya uchama, udini, ukabila", kuwa ndizo sababu za wanaopinga Samia na Genge lake wanazitumia? Kubadili utawala mbovu huoni kuwa ni muhimu?
Lakini hata kama ingekuwa kama hivyo unavyo eleza wewe; kama lengo la kuung'oa utawala mbovu litafanikishwa na makundi hayo, hilo bado litakuwa ni jambo jema. Hizo tofauti unazodai wewe zitashughulikiwa baada ya kutimiza lengo kuu, la kumwondoa Samia na Genge lake madarakani.

Kwanza yeye ndiye kapalilia hayo makundi unayoyasema hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…